Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

Kwa sisi bado tunafeli kataza kabisa,, hamna bar,, Hamna kuwahi asubuhi ovyo ovyo wanywe pombe,, funga vilabu vyote,, kataza pombe za kienyeji, hakuna kucheza bao wala ndugu yake drafti wote wapewe lockdown two months

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nivizuri tujiongeze corona ndiyo inaongezeka hizi bar na kumbi nyingine za starehe bado zina mikusnyiko mikubwa ni bora ikatafutwa njia mubadara ya kupunguza mikusanyiko hii watu wanunue wakanywee nyumbani na starehe nyingine zisitishwe hii corona ni hatari sana inasambaa kwa haraka sana .ni bora tupigane nayo sisi sote tutashinda kwa umoja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kipindi kitakua kigumu sana kwa ma barmaid waliokua wamezoea kuiba chenji zetu na kudowea mishkaki yetu.
Upande wa changudoa ndio kabisaa. Nani ataenda kupata kimoja cha chapchap Kinondoni au Sinza kipindi hiki?
Yaani barmaid kama unayo nauli nakushauri urudi walikokutoa. Nyapu haina soko na bar zimefungwa
Vimada nao taabani wamekuwa blocked watu wako isolation na wake zao, mama hakikisha inakaa na simu ya mumeo masaa yote,
 
Polisi wamevamia Bar za Kinondoni kutawanya mikusanyiko iliyokuwa inaendelea wakati wa usiku kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus

Bar na shughuli nyingine zilizokuwa zinaendelea kwa muda wa usiku zilitakiwa kufungwa

Polisi hao walitawanya watu starehe baada ya kutoa tahadhari kwa ving’ora. Watu walitandikwa bakora ili wakalale majumbani kwao

Awali mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alizuia uzuluraji kwa kipindi hiki cha janga la #COVID19. Na kuwataka watu wakae nyumbani baada ya muda wa kazi na wasitoke bila sababu maalum

View attachment 1421254
Safi sana wakirudi nyumbani wakaawambie wake zao wametandikwa na wanaume [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Tanzania Sijui kuna shida Gani,
Hivi kweli polisi na korona hili wanakamata watu wanawajaza kwenye Defender wanawajaza mahabusu ,wanazuia kitu gani?!
Sehemu kadhaa duniani wanatandikwa tu na kuachwa wakajikune vizuri sehemu walizopigwa maana hakuna sehemu ya kuwaweka wabishi wa Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan wewe kubwa zima unasubiri serikali ikuambie jilokie, wewe hujui kama kuna virus duniani?

Eti utumwa, hayo mawazo yako ndio ya kitumwa.

Acha ujinga ww, this is free country, kama ww uwez kujikinga kaa ndani na familia yako

Me najua kujikinga na familia yangu najua kuikinga, so kama hawataki tuende bar then wasema na sio kutegemea tuamue wenyewe ndio maana kuna kiongozi
 
Unaikinga familia yako wakati unaenda kukusanya virus Bar na kuwaletea?

Wewe mwenyewe hujui kama unahitaji ukae ndani hadi kiongozi wako akwambie? Umejigeuza Ng'ombe huli mpaka uchungwe na bakora,

Pathetic.
 
Sijui umri wako ila unaonekana ni mtu ambaye upeo wako ni finyu sana

Nani kasema tusifunge mipaka? Nani kasema hakuna lockdown? Si kiongozi wetu?

Sasa ww ambae sio ng'ombe usiende kazini wakati kiongozi kasema tupige kazi uone kama ujafukuzwa kazi
 
Vimada nao taabani wamekuwa blocked watu wako isolation na wake zao, mama hakikisha inakaa na simu ya mumeo masaa yote,
Eddy sasa hapo umekwenda mbali. Kina mama wakae na simu zetu? No way. Vinginevyo nitoe laini yangu
 
Back
Top Bottom