ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii inakukuta hujalipa bili ya nyama kilo moja na beer kama 6 hivi. Dah. Utatoka mbio kali sana.
Itakuwa ulikula mboko siyo kwa povu hilo..Wewe ni mjinga. Kama mna jeuri pigeni marufuku unywaji pombe basi tuwaone. Na mnavyopenda kodi, mnaenda kupiga watu fimbo mnaowategemea kuendesha serikali yenu? Ndiyo shukrani za punda hizo....
Siku hizi sketi zinazidi kuwa fupi huko barHalafu bar unaenda kufanya nn, mpira hakuna, TV zote corona corona, wabongo ubishi
Si ndiyo hapo kaka wa 4ways anajifanya anaijua Hela sana auHalafu bar unaenda kufanya nn, mpira hakuna, TV zote corona corona, wabongo ubishi
Lako wewe na nani?Acha kulichafua jeshi letu la polisi
My life is mine to remember
Endelea kuotaone day ntakuja kumpiga polisi mpaka ajiulize "why me?"
Clip yako haionyeshi hizo mboko.
Hahahaha ,hy hela itamtokea puani
Sijui
Kipindi hiki lbda aendele kuuza gasHahahaha ,hy hela itamtokea puani
Mwanangu hapo nakuunga mkono iwe kama kibanga ampiga mkoroni....usisahau kuleta mrejeshoone day ntakuja kumpiga polisi mpaka ajiulize "why me?"
Sio ubishi tu na ujinga pia unachangia.Halafu bar unaenda kufanya nn, mpira hakuna, TV zote corona corona, wabongo ubishi