Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

Nasikia liquid ya changombe imefungwa
Kuna mkubwa fulani nahisi alichukua mbegu pale ama aliwagawia mbegu wenyeji wa pale. Halafu covid inapenda sana mtu anaekunywa beer baridi au konyagi na nyama choma au kongoro ambalo halina moto wa kutosha.
 
Rais wetu hana upendo na sisi raia wake, kama angekua na upendo kwa raia basi angepiga "TOTAL LOCK DOWN". Ila muda si mrefu tutakua kama Italy au Spain kwa dharau za kijinga viongozi wanazojiwekea dhidi ya Corona.

Uganda siku ya tatu baada ya kutangaza mgonjwa wa kwanza wa Covid 19, Musseven alipiga total lock down nchi nzima, leo Uganda inatangazwa ndio nchi ya kwanza kushunda vita dhidi ya Covid 19.

mkuu kumbe kuna masindano?
 
Kama wanajua mikusanyiko ni tatizo waende wakawatoe kanisani na misikiti pamoja na kejeli mnazotoa lakini wanywaji pombe ndio wanachangia kodi kwa kiwango kikubwa mishahara ikichelewa mnapiga kelele
 
waliambiwa wachape kazi, sasa Bar ikiwa wazi bila wateja huko sio kuchapa kazi. Waachwe wanywe wasafishe matumbo.
Bar wana nawa Beer na Spirit, Corona gani ita survive hapo?!
 
Haya ni maeneo hatarishi, watu wakishalewa hawana tahadhari, kama walevi husahau hata condom je kwa Covid 19?.nimetembelea baa nyingi hasa Buguruni na Temeke kama sampuli hali ni ya hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshu sio kulewa, kwenye COVID-19, Sio kama ukimwi, maeneo yote yenye mikusanyiko ya watu ni hatari iwe kanisani, misikitini, sokoni, minadani, stendi, hata ufunge bar wakati maeneo hayo mengine bado maisha yanaendelea kama kawaida, hutakuwa umefanya kitu!!! Hata mgalegale kanisani/msikitini kama mmerundikana kama nyumbu bado ni hatari tu.
 
Haya ni maeneo hatarishi, watu wakishalewa hawana tahadhari, kama walevi husahau hata condom je kwa Covid 19?.nimetembelea baa nyingi hasa Buguruni na Temeke kama sampuli hali ni ya hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio kilichokuamsha kabisa, ukawasha na data??
Endelea kulala, ni muhimu zaidi kwa afya kuliko uzi huo wa mwendokasi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wasikae kwa mkusanyiko hivi wanavyojazana kwenye lile ligari lao ule huwa ni mkusanyiko wa maroboti au..??
Hiyo mikwaju si wangekuwa wanajianzia wao wenyewe humohumo kwenye gari maana na ule ni mkusanyiko unaoenda kuzuia mikusanyiko.
umenena
 
Samaki samaki kafunga mda sijui kawezaje kufunga inand wamiliki wa kibongo wakamulize wafanyakazi wale wanakula wapi kipindi hiki mana wao wameshindwa kufunga kisa hasara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah sasa si watangaze lockdown ieleweke moja?

Mambo ya kufurumisha watu kama utumwa haina maana
Yaan wewe kubwa zima unasubiri serikali ikuambie jilokie, wewe hujui kama kuna virus duniani?

Eti utumwa, hayo mawazo yako ndio ya kitumwa.
 
Hiki kipindi kitakua kigumu sana kwa ma barmaid waliokua wamezoea kuiba chenji zetu na kudowea mishkaki yetu.
Upande wa changudoa ndio kabisaa. Nani ataenda kupata kimoja cha chapchap Kinondoni au Sinza kipindi hiki?
Yaani barmaid kama unayo nauli nakushauri urudi walikokutoa. Nyapu haina soko na bar zimefungwa
Hahahaha, na wale wadangaji wanapata tabu sana ,mvua inapiga na bar hurusiwi kwenda kudanga
 
Hahahaha, na wale wadangaji wanapata tabu sana ,mvua inapiga na bar hurusiwi kwenda kudanga
Hii kitu imeua biashara haram ya ngono. Imepiga kila angle. Wale wanaotu scrub kwenye salon za kunyolea na kututia vidole kwenye masikio hawana dili tena, wale washenzi waliokua wanatufanyia massage na kutuvaliä viguo vya hasara bila chupi ili mradi tuongeze pesa kwa kutuamsha mzimu wa ngono. IMEKULA KWAO. Kiukweli mwanamke wa Dar kama hajaolewa asahau wanaume.
 
Hahahaha, corona nuksi kweli kweli
 
ila watz sio kila kitu mpaka serikali iwambie mambo mengine ni kujiongeza. Mnajua kabisa kuna corona na bado mnajazana ma bar si mnunue piere mkanywee nyumbani au issue ni ma barmaid
Roho imeniuma sana. Hata hili la mikusanyiko inayoepukika ni lazima tutawanywe na polisi?
 
Back
Top Bottom