Ndugu yangu wee. Huwa mimi nasema watanzania tu watu wanafiki sana. Hapa wengi wanaofurahia watu kuchapwa kama tuko karne ya mawe ni watu ambao kwa namna moja au nyingine hawashiriki starehe za bar. Hivi serikali ilishatoa amri kuwa bar zifungwe na watu wasiende bar? Kwanini wavamie watu tena kwa kuwachapa wakati hawana kosa lolote? Hii serikali inadhani kutisha watu kwa kutumia vyombo vya dola ndiyo uongozi? Uongozi wa nchi umezembea tangu nchi nyingine zilipokuwa zinachukuwa hatua wao kwa upumbavu wao wakasema virus si chochote na sasa wameona maji yamewafika shingo kwa uzembe wao wanapaniki. Dar kuna cases nyingi sana za corona na huu ni uzembe wa serikali kuchelewa kuchukuwa hatua.Ni kweli, ila sio sahihi kumchapa mtu wakati hakuna Katazo. Ni vyema wakaweka Katazo kisha watu wakikiuka ndio adhabu zitolewe, tena sio kwa kupigwa na polisi huko mabar, bali kufunguliwa mashitaka.
Kuchapa kazi sio kukusanyika bar na kuanza kulewa siku hizi kulewa Ni kazi?Mbona viongozi wanasisitiza tuchape kazi? Kwani baa na starehe siyo biashara halali na hakuna walioajiriwa pale?
Tuendelee na ujinga....
Hasara ya bar na maisha kipi bora?wangewatengua na viuno kabisa naona kama wamewapapasa tuPolisi wamevamia Bar za Kinondoni kutawanya mikusanyiko iliyokuwa inaendelea wakati wa usiku kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus
Bar na shughuli nyingine zilizokuwa zinaendelea kwa muda wa usiku zilitakiwa kufungwa
Polisi hao walitawanya watu starehe baada ya kutoa tahadhari kwa ving’ora. Watu walitandikwa bakora ili wakalale majumbani kwao
Awali mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alizuia uzuluraji kwa kipindi hiki cha janga la #COVID19. Na kuwataka watu wakae nyumbani baada ya muda wa kazi na wasitoke bila sababu maalum
View attachment 1421254
Hasara ya bar na maisha kipi bora?wangewatengua na viuno kabisa naona kama wamewapapasa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchapa kazi sio kukusanyika bar na kuanza kulewa siku hizi kulewa Ni kazi?
Sent from Tapatalk
Kuchapa kazi sio kukusanyika bar na kuanza kulewa siku hizi kulewa Ni kazi?
Sent from Tapatalk
Hujui tofauti ya bar na sokoni? Pole sana!Usichoelewa ni nini hasa?
Hao wanaofanya kazi hapo na hizo biashara zinazofanyika wataenda kuchapa kazi gani bila kuwa na wateja? Tofauti yao na anayefanya kazi sokoni ni nini? Kama imeonekana hizo sehemu zina uwezekano mkubwa wa kuleta maambukizo tofauti na zigine kwa nini isitangazwe rasmi?
Hujui tofauti ya bar na sokoni? Pole sana!
Sent from Tapatalk
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii inakukuta hujalipa bili ya nyama kilo moja na beer kama 6 hivi. Dah. Utatoka mbio kali sana.
Mjinga Mimi au wewe unae fananisha soko na bar? Ndio madhara ya kukaa kwa kaka usubiri mke wa kaka apike ugali ule! Ungekuwa sio mpumbavu usinge fananisha soko na bar! Sababu hujui hata bei ya nyanya au fungu la mchicha warthogWewe ni mjinga. Kama mna jeuri pigeni marufuku unywaji pombe basi tuwaone. Na mnavyopenda kodi, mnaenda kupiga watu fimbo mnaowategemea kuendesha serikali yenu? Ndiyo shukrani za punda hizo....