rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Ulitakaje sasa mzee baba, hebu toa wazoWatu wasikae kwa mkusanyiko hivi wanavyojazana kwenye lile ligari lao ule huwa ni mkusanyiko wa maroboti au..??
Hiyo mikwaju si wangekuwa wanajianzia wao wenyewe humohumo kwenye gari maana na ule ni mkusanyiko unaoenda kuzuia mikusanyiko.
ahh huwezi kuangalizia mechi nyumbani,kibanda umiza kuna utamu wake bwanaaWatu wabishi. Sasa wanakaa bar ili iweje msimu huu wa corona?
Kama ni bia si wanunue wakanywee nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka waanziane wao kwa wao kupigana mijeledi maana wakiwa mule si wanakuwa mkusanyiko so wanaanza kujitawanya wao kwanza ndo waje kwa raia wabishi!!... Wakiona hilo halifai watafute njia nyengineUlitakaje sasa mzee baba, hebu toa wazo
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
hakuna watu wanaonewa kama wanaume wa darisalamaDAR WATEMBEZEWA FIMBO KAMA INDIA.
Polisi Kanda ya Kinondoni jana usiku walifanya operesheni katika maeneo ya Bar na Kumbi za Burudani kutumia nguvu kupunguza mikusanyiko.
Polisi walionekana katika maeneo mbalimbali wakitumia fimbo kwa wale waliokuwa wakaidi kutoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaiona huko.video iko kwenye Uzi wa "jf usiku wa manane"
acha mbwembwe kijana yaani mchepuko ukaulie nyumban? mbona hainogi kabsaWatu wabishi. Sasa wanakaa bar ili iweje msimu huu wa corona?
Kama ni bia si wanunue wakanywee nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
ila walevi wamekuwa wastaarabu kupindukia yaani umekamata konyagi" jibapa" alafu upigwe stick🙆🙆🙆🙆Nilitaka waanziane wao kwa wao kupigana mijeledi maana wakiwa mule si wanakuwa mkusanyiko so wanaanza kujitawanya wao kwanza ndo waje kwa raia wabishi!!... Wakiona hilo halifai watafute njia nyengine
mods washafanya yaoSijaiona huko.
Kunywa Bar kuna faida kibao.Watu wabishi. Sasa wanakaa bar ili iweje msimu huu wa corona?
Kama ni bia si wanunue wakanywee nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo video ila shida ndo hivyo haiwezekn kupost hapa jana sinza watu wamekula sana bakoraHaukupiga hata kapicha ?
Ila Tanzania Sijui kuna shida Gani,
Hivi kweli polisi na korona hili wanakamata watu wanawajaza kwenye Defender wanawajaza mahabusu ,wanazuia kitu gani?!
Kizuri kula na wana.Watu wabishi. Sasa wanakaa bar ili iweje msimu huu wa corona?
Kama ni bia si wanunue wakanywee nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
wanakamata,juzi gari ya Polisi kimara ilikua imejaza Raia sijui wamewakamatia wapi yaani wameshonana balaa,wenyewe Polisi wanabembea kwenye machuma
clip zipo zinasambaa kenye whatsapp