Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

Yule mtangZaji dida alifunguaga
Grocery yk...ehh wateja wake wengi wakikuwa wsng +watangqzqj wenzak walikuwa wanajaa hapo

Ova
Muhimu yeye alikua anapata pesa, mengine aliwaachia wahusika wenyewee.
 
Sasa c
Ukisema njaa, hata kwa straight pia hivyo.
Nazungumzia ule uwezo japo kdg wa kujitafutia kipato binafsi. Tofauti na kutegemea kinyeo km njia ya kujikimu kimaisha lol
Oca mtu kalegea km mlenda utapata kazi gani ? Ndiyo ata Ile b
Asi mkazo wa mwili shda ni ngumu kuajirika aseeh wengin ndo kabisa wamekuwa mademu
 
Nawaza hivi duuh ...... Mtu anamwagiwa kabisa shahawa ambazo naye anazo
Kuna siku nlikuwa napiga maji mitaa ya buibui pale uwanjani
Mara tukawa tunasikia vagi
Watu mpaka wametoleana bastola.....wanamgombania shoga...
Mmoja hapo anaa3ma kampngishia nyumba mwingine qnasema yeye ana mpaa huduma....
Kuna mmja alikuja na prato mwingine v8....watu na heshima zao ukiwaona

Ova
 
Sasa c

Oca mtu kalegea km mlenda utapata kazi gani ? Ndiyo ata Ile b
Asi mkazo wa mwili shda ni ngumu kuajirika aseeh wengin ndo kabisa wamekuwa mademu
Inategemea ni fani ipi ktk Elimu, mbna wako wanaajiriwa, hata km short term, ila wanapata kipato, kuliko hii ya kujiuza. Mbna hatariii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kulikuwaga na boss wa nssf smbdy nanii kawafyatua sana wsng ndmkkk sijui siku hizi kamepotelea wapi

Ova
Ila wewee?! Kila codes unayoo. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna uzi wa Mshana Jr kuhusu vituko vya Mwananyamala, ule uzi ni kati ya nyuzi bora kabisa kuwahi kuzisoma humu JF
 
Yaan mkuu me selew ni nn hasa hiyo unakuta me wanagombania bwabwa, Kuna mwingine alienda choma nyumba ya Basha ake akaishia jela, mwingine ety kakataliwa anaumia kma kafiwa na mke astakafirullah astakafirullah
 
Pombe,uzinzi kila kitu
Kuna mtu anaweza akazaliwa dar au ameishi dar miaka 30 hapo asipajuwe
Na imani hata rc dar hapajuwi
Wafanye waende hapo waone balaa lake

Ova
Nielekeze, nataka nikapajuee huko.
 
Yaan mkuu me selew ni nn hasa hiyo unakuta me wanagombania bwabwa, Kuna mwingine alienda choma nyumba ya Basha ake akaishia jela, mwingine ety kakataliwa anaumia kma kafiwa na mke astakafirullah astakafirullah
Kuna watu mabazazi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui nacheka nn. Uwiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…