Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
noel ana degree ya sheria, ila hajawahi kuwa mwanasheria, nadhani atakuwa alisoma kwa ajili ya kujaribu kutetea mashoga wenzie, alipomaliza akaona sheria yenyewe inakataza ushoga. akamyuti hadi leo. nilishawahi kuona clip moja ati amesoma sheria na yeye. halafu wanawake wanapenda sana kuwa nao karibu, hao ndio wanawaharibu zaidi.Noel ana elimu mpka wapi ? Na huyo sekleble