noel ana degree ya sheria, ila hajawahi kuwa mwanasheria, nadhani atakuwa alisoma kwa ajili ya kujaribu kutetea mashoga wenzie, alipomaliza akaona sheria yenyewe inakataza ushoga. akamyuti hadi leo. nilishawahi kuona clip moja ati amesoma sheria na yeye. halafu wanawake wanapenda sana kuwa nao karibu, hao ndio wanawaharibu zaidi.Noel ana elimu mpka wapi ? Na huyo sekleble
Ana Degree ya sheria kutoka mkwawa University.Noel ana elimu mpka wapi ? Na huyo sekleble
Hili swali hata mimi huwa najiuliza sanani hatari, najiulizaga hv hawa watuvwana wazazi au familia zao kweli?
Mitazamo ya wananchi juu ya hao "bottoms" nayo ni changamoto, yaani akifungua Biashara wateja lazima wamnyanyapaeπππππ shida ya Gays wengi hasa bottoms ni kutokua na Elimu.
Mbona wa nchi zingine, wana Elimu, kazi na fani mbali mbali za heshima. Huku sasa, lol
mkwawa university doesn't offer law degree. nadhani itakuwa Iringa university, zamani tumaini university.Ana Degree ya sheria kutoka mkwawa University.
Kushachafuka nashukuru watoto zangu wamevuka age fulani,na nliwalea kingoma ngumuUmeona km hao uliotaja sijui anco T, ila Noel ana Elimu, na fani anakula life, hana shida. Anco T mtaji wa wenzie yeye ana uendesha bas life linasonga.
Kudanga kwa B ni jau, ππππ
Mkwawa University College hakuna degree ya Sheria....pale ni kozi za Ualimu pekeeAna Degree ya sheria kutoka mkwawa University.
Kulea kingoma ngumu sio 7bu, wako mashoga wametoka familia zilizo strict ktk malezi, plus Dini sana.Kushachafuka nashukuru watoto zangu wamevuka age fulani,na nliwalea kingoma ngumu
Wazaz wa sasa nawaonea huruma
Ova
Yes itakua ni hapo, maana kasoma Iringa Chuo.mkwawa university doesn't offer law degree. nadhani itakuwa Iringa university, zamani tumaini university.
hizi katakata kweliAna Degree ya sheria kutoka mkwawa University.
Malezi maleziKulea kingoma ngumu sio 7bu, wako mashoga wametoka familia zilizo strict ktk malezi, plus Dini sana.
Hiyo Sheria alipiga direct from school I mean six , au baada ya kuingia kwenye u-gay π€noel ana degree ya sheria, ila hajawahi kuwa mwanasheria, nadhani atakuwa alisoma kwa ajili ya kujaribu kutetea mashoga wenzie, alipomaliza akaona sheria yenyewe inakataza ushoga. akamyuti hadi leo. nilishawahi kuona clip moja ati amesoma sheria na yeye. halafu wanawake wanapenda sana kuwa nao karibu, hao ndio wanawaharibu zaidi.
Hii ni kweli, ila inatakiwa wao wajitambue na kujua wanaishi ktk jamii ipi. Mbna simple sana kuishi Bongo, hawa vigeu geu wasio na msimamo, ππππMitazamo ya wananchi juu ya hao "bottoms" nayo ni changamoto, yaani akifungua Biashara wateja lazima wamnyanyapae
mlokole unapigia chabo makalio ya mwanaume πhalina hata kalio
Kama mzazi ushalea, umempa elimu Dunia anajua akijiingiza kwenye ujinga wewe haupo though kikubwa tuzidi kukumbushana tuu,Malezi malezi
Ova
Kwamba gay hawezi piga five na six na kuingia university direct? Tena kwa sheria, si alisoma Arts ugumu uko wapi hapo?Hiyo Sheria alipiga direct from school I mean six , au baada ya kuingia kwenye u-gay π€