Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

mimi sijawahi kuona shoga mpaka umri huu,ila kuna watu nikiwaona nahisi tu ni mashoga na haswa hawa ( sitaki kusema ni wanaume ila wana sura za kiume ) wanaotoboa maskio na pua.
 
Babu yako mwaka 1967 wakati wenzie wananunua viwanja Kariakoo yeye alikua anasakata mayeno Msondo ngoma.
👇
images (8).jpeg
 
Msiwajadiri kwa hasira wapiga kula wanaofadhiliwa na wabeligi
 
Aisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi.

Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa ameruhusiwa kwenda kwake hivyo ikabidi niwape lift hadi wanapokaa.

Ule mtaa nilioyaona aisee ni kufuru, vijana wa kiume wamejipodoa hawana shida yoyote, wamevaa vikaptura wanatembea kwa kukatika kama dada zao. Na ni group la vijana kama wanne hivi.

Ukisema sinza ndio sin city ya dar basi wewe hujafika mwananyamala
Kumbe huko ndio tunaweza wapata wakuwafukua tope
 
Ndiyo!! Mbna wao hawakemei tabia zenu mbayaa.
so sad😪,anyways mimi naishia hapa tu ,sina ubavu wa kujibu hili swali ila kwa haraka haraka ,hawana cha kukemea kwa sababu wapo kwenye peak ya immorality,kwahiyo obviously mambo mengine yote kwao yatakuwa kawaida tu.
 
Aisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi.

Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa ameruhusiwa kwenda kwake hivyo ikabidi niwape lift hadi wanapokaa.

Ule mtaa nilioyaona aisee ni kufuru, vijana wa kiume wamejipodoa hawana shida yoyote, wamevaa vikaptura wanatembea kwa kukatika kama dada zao. Na ni group la vijana kama wanne hivi.

Ukisema sinza ndio sin city ya dar basi wewe hujafika mwananyamala
Wanaume wa dar karibu 80% ya vijana ni mashougar
 
so sad😪,anyways mimi naishia hapa tu ,sina ubavu wa kujibu hili swali ila kwa haraka haraka ,hawana cha kukemea kwa sababu wapo kwenye peak ya immorality,kwahiyo obviously mambo mengine yote kwao yatakuwa kawaida tu.
Hawataki kujipa umuhimu kwenye maisha ya wasio wahusu, nanyi fanyeni hivyo.
 
Hiyo ni huduma kama nyingine na ina wateja wake, kama huusiki pita kimya tuu, ndio maana ya jiji maana linakomba kila kitu kuanzia wezi wa CCM, machawa, makahaba na kila kitu, hutaki hama
 
Back
Top Bottom