Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

mimi sijawahi kuona shoga mpaka umri huu,ila kuna watu nikiwaona nahisi tu ni mashoga na haswa hawa ( sitaki kusema ni wanaume ila wana sura za kiume ) wanaotoboa maskio na pua.
 
Msiwajadiri kwa hasira wapiga kula wanaofadhiliwa na wabeligi
 
Kumbe huko ndio tunaweza wapata wakuwafukua tope
 
Ndiyo!! Mbna wao hawakemei tabia zenu mbayaa.
so sadπŸ˜ͺ,anyways mimi naishia hapa tu ,sina ubavu wa kujibu hili swali ila kwa haraka haraka ,hawana cha kukemea kwa sababu wapo kwenye peak ya immorality,kwahiyo obviously mambo mengine yote kwao yatakuwa kawaida tu.
 
Wanaume wa dar karibu 80% ya vijana ni mashougar
 
so sadπŸ˜ͺ,anyways mimi naishia hapa tu ,sina ubavu wa kujibu hili swali ila kwa haraka haraka ,hawana cha kukemea kwa sababu wapo kwenye peak ya immorality,kwahiyo obviously mambo mengine yote kwao yatakuwa kawaida tu.
Hawataki kujipa umuhimu kwenye maisha ya wasio wahusu, nanyi fanyeni hivyo.
 
Hiyo ni huduma kama nyingine na ina wateja wake, kama huusiki pita kimya tuu, ndio maana ya jiji maana linakomba kila kitu kuanzia wezi wa CCM, machawa, makahaba na kila kitu, hutaki hama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…