Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #21
Haya yote tunayajua tunahitaji zaidi pichaMwili wa Marehemu umewasili Kinondoni makaburini tayari kwa mazishi kupumzishwa kwenye makao yake ya milele.
P
Huo wimbo kaimba nani?Jeneza lenye mwili wa marehemu limeishawekwa juu ya kaburi.
Tunaimba wimbo No. 180
P
Shkamoo Bro. Mwaka 2006 bado niko shule ninawaza tu NECTA.Wana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
View: https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni.
Karibuni.
Paskali
Asante mkuu paskali twasubiri picha
poleni sanaWana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
View: https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni.
Karibuni.
Paskali
aliugua nini jamani?Wana JF

Alikuwa dhehebu gani?Mwili unashushwa kaburini
P
Mara zingine hua unawazika makaburi ya wapi? 🤔Wana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
View: https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni.
Karibuni.
Paskali
Haya yote tunayajua tunahitaji zaidi picha
Au unazuga kuwa upo kumbe na wewe unasikilizia kwa mtu?
Mungu amemtwaa mtu mwema kutoka miongoni mwetu.Wana JF