Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
View: https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni.
Karibuni.
Paskali
😊😊😊😊😊Muwe mara moja moja mnatusalimia sisi kama Kaka,baba, shemeji ama wajomba zenu humu jukwaani ✌️✌️✌️✌️Shkamoo Bro. Mwaka 2006 bado niko shule ninawaza tu NECTA.
Sasa ndo nini? Tuambie amekufa kwa ugonjwa gani umeleta comment yenye tashwishwi...Toka msiba imetokea sikuwahi kuuliza cause of death, ila nilipoelezwa, nimemnyanyulia Mtsimbe mikono juu, huyu ni bonge la shujaa wa uhai hadi kifoni, kumbe alikuwa anakabiliwa na changamoto qya kiafya ya ugonjwa ambao ni terminal, hivyo alikuwa unaupigania uhai wake kimya kimya, na hakuwahi kuutaja na wala hakuwahi kuonekana with sick face, aulibeba ugonjwa wake moyoni mwake kimya kimya hadi amekufa kishujaa.
Katika mabandiko yangu yaliyopita kumhusu Sanctus Mtsimbe, nilisema tuna fanana mambo mengi,
- Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!
- Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika
Leo msibani tumezidi kufanana, kumbe first wife yuko Marekani, na mini first wife yuko Marekani. Mtoto mkubwa alikuwa Marekani, na mimi watoto wakubwa wako Marekani.
Bongo akavuta kitu, dogo dogo, kitu white, chombo kweli kweli, mimi pia Bongo nimevuta kitu, white...
RIP Rafiki yangu Mzalendo Comred
P
Mwaka 2006 ulikuwa unafanya nini?😊😊😊😊😊Muwe mara moja moja mnatusalimia sisi kama Kaka,baba, shemeji ama wajomba zenu humu jukwaani ✌️✌️✌️✌️
Kama marehemu mwenyewe hakusema, who M I kutaja?, ila sio ngoma.Sasa ndo nini? Tuambie amekufa kwa ugonjwa gani umeleta comment yenye tashwishwi...
Ila usingesema sasa lolote kutufanya tutake kujua...Kama marehemu mwenyewe hakusema, who I kutaja?, ila sio ngoma.
P
Nilikua nimeanza Maisha na kujitegemea +267Mwaka 2006 ulikuwa unafanya nini?
Anasema terminal illness. Kwa tafasiri isiyokuwa rasm ni magonjwa yasiyoyakuambukiza na yaliyo magumu kutibika na kusababisha vifo. Mfano cancer, ugonjwa wa figo,ini, moyo na mengine magumu kama hayo.Sasa ndo nini? Tuambie amekufa kwa ugonjwa gani umeleta comment yenye tashwishwi...
Terminal illness: An irreversible condition that in the near future will result in death or a state of permanent unconsciousness from which you are unlikely to recover. In most states, a terminal illness is defined as one in which the patient will die “shortly” whether medical treatment is given.Toka msiba imetokea sikuwahi kuuliza cause of death, ila nilipoelezwa, nimemnyanyulia Mtsimbe mikono juu, huyu ni bonge la shujaa wa uhai hadi kifoni, kumbe alikuwa anakabiliwa na changamoto qya kiafya ya ugonjwa ambao ni terminal, hivyo alikuwa unaupigania uhai wake kimya kimya, na hakuwahi kuutaja na wala hakuwahi kuonekana with sick face, aulibeba ugonjwa wake moyoni mwake kimya kimya hadi amekufa kishujaa.
Kwa vile akiwa hai, mwenyewe hakuwahi kusema ana changamoto hiyo ambayo ni terminal illness, kwa heshima ya marehemu, naomba tuheshimu his right to privacy, hivyo naomba msiulize marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani, ila moja ya magojwa terminal, ila sio ugonjwa wa kuambukiza, na sio ngoma!.
Katika mabandiko yangu yaliyopita kumhusu Sanctus Mtsimbe, nilisema tuna fanana mambo mengi,
- Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!
- Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika
Leo msibani tumezidi kufanana, kumbe first wife yuko Marekani, na mini first wife yuko Marekani. Mtoto mkubwa alikuwa Marekani, na mimi watoto wakubwa wako Marekani.
Bongo akavuta kitu, dogo dogo, kitu white, chombo kweli kweli, mimi pia Bongo nimevuta kitu, white...
RIP Rafiki yangu Mzalendo Comred
P
Kwani jomba mimi nataka uende mbali? Ishia hapohapo.Nilikua nimeanza Maisha na kujitegemea +267
By the way tusiende mbali Sana mdogo angu tuishie hapa kwa leo.............
✌️✌️
Thanx for concernAnasema terminal illness. Kwa tafasiri isiyokuwa rasm ni magonjwa yasiyoyakuambukiza na yaliyo magumu kutibika na kusababisha vifo. Mfano cancer, ugonjwa wa figo,ini, moyo na mengine magumu kama hayo.