Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

Ni kawaida kwa watoto kuwazika wazazi wao, inapotokea mtoto, ametangulia, na mzazi ndio anamzika mtoto, ni huzuni ya double tragedy kwasababu mzazi anajiuliza nani atamzika?.
P
 
Sasa zoezi la mashada limeanza.
Shada la kwanza ni la mke wa marehemu mama JJ akiongozana na JJ.
P
 
Back
Top Bottom