Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

Bongolander,

..nadhani kuishi nje peke yake siyo kigezo kikuu cha kumpa mgombea uongozi.

..nadhani tunapaswa kuwa makini zaidi ktk kuchagua viongozi kuliko ku-base kwenye upinzani wa walioishi nje vs walioshi nyumbani.

..mgombea anapaswa kuwa na sifa za ziada juu ya kufanya kazi na kusoma nje ya nchi.

..kuna tatizo kubwa sana hapa Tanzania na limeshindikana kutatuliwa hata kwa kurudisha nchini wataalamu wetu waliofanya kazi nje. tatizo hilo ni utamaduni wa rushwa, wizi, na ubadhirifu. watu kama Dr.Balali walifanya kazi kwa uadilifu mkubwa ktk mashirika ya kimataifa, mara waliporudi Tanzania wamejitumbukiza ktk rushwa na ubadhirifu wa kutisha.

..sasa pamoja na kulaumu kwamba wataalamu wetu wanaorudi toka nje wametuangusha, labda tuangalie ni mazingira gani ya ndani ya Tanzania yanasababisha tunaangushwa[tunaibiwa,tunahujumiwa] na kila mhusika anayepewa madaraka.

..vijana, wanawake, wazee,...kila anayepata uongozi Tanzania ya leo haichukui muda mrefu anatumbukia ktk mambo ya ufisadi. tuna tatizo kubwa sana Tanzania na kwa kweli linahitaji umakini na uzalendo wa hali ya juu kulitatua.
Mkuu JokaKuu, tatizo kubwa liko kwenye system ya uongozi wa nchi. System ambayo haina controls za kutosha kuhakikisha kuwa kuna uwajibikaji, na nidhamu ya kutosha.

Kama kiongozi wa juu wa serikali akiwa anavumilia makosa ya watendaji wa chini, ni dhahiri kuwa hata wale wenye nia njema na wenye uwezo kiutendaji watachoka kuwa watiifu na wachapakazi kwa malengo yanayotarajiwa na wengi.

Ni kwasababu hii, ndio maana ninafuraha kubwa kuona na kusikia kuwa Dr. Slaa amejitokeza na kupendekezwa na chama chake kuwa mgombea uRais. Furaha yangu inasababishwa na mambo kadhaa.

1. Ni nafasi ya kubadili mfumo mbovu wa kuvumiliana kwa manufaa machanga ya kisiasa

2. Ni nafasi nzuri na adimu ya kupata mtu mpya mwenye mawazo mapya kutoka katika chama kipya

3. Na kubwa zaidi, ni kwa kuwa ni vizuri kuubadili uongozi wa nchi baada ya kila dalili kuonyesha kuwa huko tunakokwenda hakuna nuru kwa kuwa mshika mshumaa ameuzima na hana kiberiti cha kuuwasha tena.
 
Sasa hivo vyeti vya nini, si asubiri huko atakokwenda akichaguliwa ili akavithibitishe?

Sisi akituambia amesoma Chuo Kikuu fulani na anazo degree ngapi itatusaidia nini katika hatua hii?
 
Mwambie huyo rafiki yako huku nyumbani kuna kampaini kubwa ya kilimo kwanza. Atume tractor 2, majembe, harrow na trailer aje kulima.
 
Duh, nilisoma na huyu jamaa zaidi ya miaka 20 iliyopita.

Then he fell off the radar, had no idea where he was and if he was alive, for that matter.

Kuna mtu kwenye post zilizopita hapo puu kasema jamaa kanyoa upara aonekane kijana, huyu Mpoki ni kijana, umri wake ni kati a miaka 32-34 hivi.

Kuna na mtu mwingine tulisoma nae alikuwa anaitwa Mplingondo Kingunge Ngombale Mwiru, naye sijui ameishia wapi.
 
Wakuu huu ni mjadala mzuri sana.

Bwana Mpoki ntamuunga mkono ikiwa atakwenda Tanzania na wazo la maendeleo kwa kuanzia alipotoka baba yake awe tuseme kiongozi wa kamatii ya maendeleo ya kijiji na aendeleze mawazo yake yafike kwenye kata, wilayani hadi mkoani na baada ya hapo ataweza kuwa mtu wa heshima kama vile mtu mashuhuri kwenye jamii.

Namsaidia kwa kumpa mfano wa kufanya jambo la maendeleo kule kijijini kwao kwa kuiwezesha shule ya msingi aliyosoma mzee Mwambulukutu ya Mabonde (kama bado ipo) iwe ya kisasa, kuendeleza "regeneration" kwenye miundombinu, nyumba za kuishi watu ziwe za kisasa na mengine mengi tu.

Kwa kifupi asiwe na mawazo ya ubunge kwani ataharibiwa na mawazo mabaya ya kifisadi.
 
Wanajamii, nadhani kulaumu wote waliosoma nje ni misleading. Kwa Mtazamo wangu kati ya wagombea wote wa Kinondoni, Mpoki ana exceptional skills. Mpoki is between 32-34, and within that age ameweza kuachieve mengi in academic, life and career. Tanzania inaitaji watu wenye high thinking capability, and trust me this guy have it. He is one of those people who have exceptional point of view.

Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.

Kufananisha kila kijana aliyesoma West na Mh. Masha is total wrong. Most of the time life experience shaped individual. I cant talk about Masha life experience sababu simjui, but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man.

Mpoki amefanya research nyingi sana kuhusu Agriculture Economic Development in rural Tanzania. Ameweza kushiriki kwa karibu kabisa na wanavijiji mbali mbali kutafuta njia mbadala ya kuongeza zalisho kwenye vilimo vyao.

Amekuwa mstari wa mbele hata hapa JF kuanzisha mijadala mbali mbali kuhusu maendeleo ya Tanzania, vilevile kukemea pale mabaya yanapotendeka. Nadhani kabla hatuja toa conclusion, we need to research more about the guy and how his past experience shape his vision toward the future.

I endorse the guy sababu i believe Tanzania need him. He is a change that we can believe in.
 
Wanajamii, nadhani kulaumu wote waliosoma nje ni misleading. Kwa Mtazamo wangu kati ya wagombea wote wa Kinondoni, Mpoki ana exceptional skills. Mpoki is between 32-34, and within that age amweza kuachieve mengi in academic, life and career. Tanzania inaitaji watu wenye high thinking capability, and trust me this guy have it. He is one of those people who have exceptional point of view.

Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.

Kufananisha kila kijana aliyesoma West na Mh. Masha is total wrong. Most of the time life experience shaped individual. I cant talk about Masha life experience sababu simjui, but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man.

Mpoki amefanya research nyingi sana kuhusu Agriculture Economic Development in rural Tanzania. Ameweza kushiriki kwa karibu kabisa na wanavijiji mbali mbali kutafuta njia mbadala ya kuongeza zalisho kwenye vilimo vyao.

Amekuwa mstari wa mbele hata hapa JF kuanzisha mijadala mbali mbali kuhusu maendeleo ya Tanzania, vilevile kukemea pale mabaya yanapotendeka. Nadhani kabla hatuja toa conclusion, we need to research more about the guy and how his past experience shape his vision toward the future.

I endorse the guy sababu i believe Tanzania need him. He is a change that we can believe in.

Kwenye post ya 2 tu umeulizwa swali muafaka kabisa, mbona hujibu?
kama yeye ni mtaalam wa maendeleo kwani lazima awe mbunge kutuletea hayo maendeleo? Ushauri wa bure ni heri ajikite huko kijijini kuwapa maendeleo ya kilimo kuliko kuwa mgombeawa Ubunge wa CCM.

Ukisema anatafuta ulaji haya mengine ni blah blah hapo nitakuelewa.....
 
alipokosea kama msomi, ni kujaribu kuvutia watu/wapiga kura kwa kutumia vyeti vyake, hicho ni kiwango cha chini cha kufanyia kampeni, labda hapo kinondoni, maana waliongozwa na mwenye cheti cha computer, na hata Asha Baraka nae anapataka?
a quality of a leader is more than kuwa na vyeti lukuki etc, bali ni kuwa na commitment ya kuwasaidia unao waongoza.
labda kabla ya kuingia kwenye kinyanganyiro hichi angekuwa hata anaandika makala kuhusu mambo yamaendeleo, ingesaidia kuonyesha ni jinsi gani elimu yake itamfaa/imemfaa .
na angekuwa ameaanza kuwaelimisha hao wajisiriamali/wakazi wa kinondoni jinsi gani wanaweza kuboresha maisha yao, kwa mtaji hiyo hiyo midogo walio nayo au kuendeleza makazi yao kama usafi nk nkn

Mkuu ukipata time just google the guy. Tatizo kubwa ninalo liona Tanzania ni poor political covarage kwenye local media. Hakuna enough political analysis ambayo inafanya digest kwa common Joe.

I endorsed and met several talented Tanzanian over period of time. Trust me this kid is a thinking machine.
 
Kwenye post ya 2 tu umeulizwa swali muafaka kabisa, mbona hujibu?
kama yeye ni mtaalam wa maendeleo kwani lazima awe mbunge kutuletea hayo maendeleo? Ushauri wa bure ni heri ajikite huko kijijini kuwapa maendeleo ya kilimo kuliko kuwa mgombeawa Ubunge wa CCM.

Ukisema anatafuta ulaji haya mengine ni blah blah hapo nitakuelewa.....

Ukweli ni Kwamba Tanzania system is very centralized, kwamba Bunge lina more impact than any local government. What we need are people who believe that Tanzania need to decentalized more. Vile vile Tanzania bado tunaitaji wataalamu wa kiuchumi kwenye Ngazi ya Kitaifa, watu ambao wataweza kwa karibu kuinfluance national economic policies. Na huyu jamaa has those credentials. Leo hii Tanzania haina wataalamu wa Uchumi wa Madini, sasa wakipatikana tutamwambia waende wakakae Mkoa wa Mara ili wasaidie wachimbaji wadogo wadogo?

Again we need this guy on the national level.Jaribu kuspend more time kumjua zaidi ni nani and trust me you will understand more ninacho kiongea.
 
Umesema vyema kabisa ndugu. Mtu yeyote ana haki kabisa kugombea uongozi ni haki ya kikatiba.Kisichotakiwa ni majigambo au mtu kudhani kwa vile ana advantage kama hizo za kusoma nje ya nchi basi anasimama nafasi nzuri kuliko watoto wa wakulima waliosoma Kigonsera, Msalato, BWIRU N.K. Kinachotakiwa ni uwezo wa kuongoza, karama, umahiri na pia ile hali ya kuwa mkweli na siyo kutaka kudanganya wananchi.

Ukitazama kwenye article yangu kaka utoana nimetanabaisha ya kwamba ana exposure and he is well educated. Sijazungumzia wapi aliposoma. Mpoki amesoma Iliboru ambayo ni jamii moja na Kigonsera au Msalato.

Kusoma nje sio chachu ya maendeleo au kuwa kiongozi bora, bali ni opportunity. Sio kwamba walio soma nje ni wabora kuliko waliosoma nyumbani. Bali kupata exposure ya njia mbadala walizotumia wenzetu wa magharibi kufikia maendeleo waliyofikia.
 
Wanajamii, nadhani kulaumu wote waliosoma nje ni misleading
.

Sidhani kama kuna mtu analaumu just b;coz mtu amesoma nje. Nadhani kinachojaribu kuwa highlighted na members humu ni aina ya Utapeli amabayo watanzania siku zote huwa wanapigwa changa la macho with the so called wasomi regardless ni kutoka ndani au nje ya nchi.

Kwa Mtazamo wangu kati ya wagombea wote wa Kinondoni, Mpoki ana exceptional skills. Mpoki is between 32-34, and within that age ameweza kuachieve mengi in academic, life and career.

Hapa ndipo watanzania tunapochoshana, it is always vague, generalizations and someone expect we can just swallow that in. Can you please substantiate with specifics????????? And another point to note hao ni wagombea wa CCM, je unawafahamu wa upinzani ktk jimbo hilo? Au nao pia hawana exceptional skills.

Tanzania inaitaji watu wenye high thinking capability, and trust me this guy have it. He is one of those people who have exceptional point of view.

You got it wrong again, Tanzania inahitaji people who can do it, simple and clear. It is time to stop the mere thinking and the talk. It is time for actions.

Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.

Hapa mkuu nachoka kabisa, unavyompotray huyu jamaa is as if we never had economists in Tz. Can you please bring up his CV as to where he worked with tangible achievements. And can we please stop calling the mid 30's yr olds.......KIDZ just to hoodwink the voters. I have seen it pia kwa Januari.

Kufananisha kila kijana aliyesoma West na Mh. Masha is total wrong. Most of the time life experience shaped individual. I cant talk about Masha life experience sababu simjui, but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man.

Mkuu anafananishwa na Masha simply becoz the same way unataka tumuamini Mpoki is the same way others wanted us to do for Masha. We were told about his academic achievements, his career achievements na kwamba aliamua kuja kusoma UD wakati familia yake ikiwa NY. All this was to let the pple blv he's the one. Mwisho wa siku tumekuja gundua ni garasha. I can assure you Masha could be 100X better if we gage him the same way unavyom-gage Mpoki. Well all I want to tell ya is NOT ALL THAT GLITTERS IS GOLD so be aware.

Mpoki amefanya research nyingi sana kuhusu Agriculture Economic Development in rural Tanzania. Ameweza kushiriki kwa karibu kabisa na wanavijiji mbali mbali kutafuta njia mbadala ya kuongeza zalisho kwenye vilimo vyao.
And by so doing he qualifies to be Mbunge?????????. In that respect Prof. Wangwe awe rais basi.

Amekuwa mstari wa mbele hata hapa JF kuanzisha mijadala mbali mbali kuhusu maendeleo ya Tanzania, vilevile kukemea pale mabaya yanapotendeka. Nadhani kabla hatuja toa conclusion, we need to research more about the guy and how his past experience shape his vision toward the future.

Hii nilikuwa sijui kwamba nayo ni sifa mojawapo ya kuwa Mbunge.

I endorse the guy sababu i believe Tanzania need him. He is a change that we can believe in

This would have just been the sentence kussumarize yoote uliyoandika ila ktk hizo highlighted weka I
 
MPOKI+MWAMBULUKUTU.JPG

MPOKI MWambulukutu akionyesha vyetivyake
Mbona anavyeti vingi sana.Anaelimu ya kuunga nini?
 
Ukweli ni Kwamba Tanzania system is very centralized, kwamba Bunge lina more impact than any local government. What we need are people who believe that Tanzania need to decentalized more. Vile vile Tanzania bado tunaitaji wataalamu wa kiuchumi kwenye Ngazi ya Kitaifa, watu ambao wataweza kwa karibu kuinfluance national economic policies. Na huyu jamaa has those credentials. Leo hii Tanzania haina wataalamu wa Uchumi wa Madini, sasa wakipatikana tutamwambia waende wakakae Mkoa wa Mara ili wasaidie wachimbaji wadogo wadogo?

Again we need this guy on the national level.Jaribu kuspend more time kumjua zaidi ni nani and trust me you will understand more ninacho kiongea.

Kuhitaji wataalam kwenye nationa level sikati, lakin sio bungeni... Kwa bunge ambalo linaongelea nani kagombana na nani kwenye TV na kuongelea mambo yasiyo ya kimaendeleo, msomi (aka mtaalam) mwenye akili timamu atajua kwamba maendeleo sio lazima akayalete kupitia bungeni. Kama kafanya research za kilimo atuonyeshe wapi zimefanikiwa na ni kivipi mkulima atafaidika na hilo.... Sidhani kama mkulima atakataa ushauri huo kisa huyo msomi sio mbunge.

Huko bungeni tuna wasomi kibao na hawajafanya lolote zaidi ya kuongeza idadi ya watu wa kupiga makofi kumsifia Mh Spika. Kwahiyo yeye atuambie atafanya nini sio kusingizia msomi anayejua maendeleo. Na unaposema nispend time kumjua aidha niambie wapi kuna habari zake au wewe tueleze yale tunayotakiwa kuyajua maana inaonekana mnajuana sana (kama si wewe mwenyewe)
 
Brother, Bunge la Tanzania ndio sehemu pekee ambayo inaweza kuchachusha maendeleo ya nchi. Kama tutapata wabunge wengi wenye uwezo wa kuanzisha mijadala then Tanzania will move forward. Nitakupa mfano kama tunabunge lenye nguvu basi litalia kubadilisha katiba ambayo inampa nguvu raisi ya kufanya lolote. Kama tunabunge lenye nguvu, basi litalazimisha check and balance kwenye matumizi katika wizara. Maendeleo ya Tanzania yanaganda sababu bunge letu ni la vikaragosi. Mimi nasupport mgombea yoyote mwenye independent thinking.
Iwe ni John Mnyika, Zitto Kabwe, January, Nape Mnauye au Mpoki Mwambulukutu.... I support independent thinkers, na sio watu waliokunywa cool aide ya chama fulani.
 
kwi kwi kwi kwi.............hawa mashemeji zangu bana...........mara mwingine inadaiwa kafanyiwa vurugu huko Kyela/kakamatwa..........haya sasa na huyu dogo............anatuletea mavyeti yake hadharani............dah..........

Maoni yangu....ni kuwa huyu kijana akajiunge na yule Prof wa uchumi wafanye research.........siasa.....hapana
 
A-Level (Iliboru), Then B.A , then MBA and Then M.Phil. Sasa hapo vyeti sio vichache.

Mkuu unahakika huyu jamaa alisoma Iboru A-level. NImekuwa nafuatilia kujua kama kweli yeye ni kihiyo au si kihiyo. Nilichoona ni kuwa huyu jamaa hakusoma A-level Ilboru. kama hicho cheti amewasilisha kitakuwa ni cha kugushi kama walivyofanya wengine. Nimesikia kuwa huyu jamaa amesoma A Level St Anthony's secondary. So inawezekana yeye ni kihiyo, au mtanganyika umetupotosha.
 
huyu jamaa ana masters lakini ndani ya ccm kuna maprofesa kibao na PHd holders wa kunwaga.....akishaingia tu ...Lazima ajali maslahi ya chma kwanza, then yeye halafu marafiki baadaye kitakacho baki ni kwa Wadaganyika wote. Tatizo la ccm si kukosa watu ni mfumo mbovu. Ukishajiunga na wachawi huwezi kuwabadilisha bali utafanya kama wao tu.......dawa ni kuondoa mfumo huu kandamizi tulionao na kuleta mfumo unaojali maslahi wa Watanzania wote
 
Back
Top Bottom