Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

Msumari wa mwisho umepigwa kwene jeneza ?? I mean kabla ya kushushwa futi 6 chini ya usawa wa udongo?
 
Mkuu nadhani ulishauriwa toka mwanzo kuchapa mjadala kwa Kiswahili!!!!!!!! Anyways hongera pia kwa kuwa mpiga debe mkomavu!

Du! mkuu you are right, naona hapa kuna matatizo mengi.Na kuna baadhi ya matatizo yako nje ya uwezo wa Invisible and Co. Tatizo la kwanza kiingereza mgogoro, la pili hata kiswahili mgogoro maana ukisoma viswahili vingine unaweza kushia kucheka tu, even worse, kuna tatizo kama langu la kuandika kiswa-kinge. Hieleweki kama ni kiswahili au Kiingereza, na kuna typo nyingi ndani yake. Kama mtu hajui kiingereza na kiswahili, na kama hajui QWERTY imekaaje basi ndio kabisa JF itakuwa kama kiini macho kwake.. Ni kama members wa forums tunajiwekea limitations wenyewe.
 
All these qualification at age 36 just shows you have spent more time in the classroom learning and writing theories than in the real world practising the knowledge.

But hey, who is asking?

hii imenikusa na nitaitetea

wako ambao ni watu wa kawaida tu lakini by the time wapo 32 watakuwa na post doctoriate zao.......so si kila mwenye elimu kwa umri mdogo means elimu yake ina dosari

cha kujiuliza ni is he a good leader? manake kuna ma prof bungeni na hawana cha maana kinachoendelea
 
Wanajamii, am glad kwa wote waliotoa mchango. I believe Mpoki didn't win, but i admired him for trying.

I know him personal and i give him tano for the decision which was to touch the water. I also admire others who where very critical to challenge his credentials. In the end "The worst thing one can do is not to try, to be aware of what one wants and not give in to it, to spend years in silent hurt wondering if something could have materialized - and never knowin".(David. V)
We all love Tanzania dearly, we can differ on the strategy on how to empower our fellow citizen. I wish everyone uchaguzi mwema, tafadhali shauri wengine kuhusu wagombea bora na sio bola mgombea.

Ningekuwa buffled angeshinda hizo kura za maoni, hawa jamaa wanadhani ni kuamka asubuhi siku moja na kuweka jina la ugombea wako. Kazi kweli kweli may be he is a bit 'thick' despite his qualification or he has no clue what politics is about, selling yourself to the public and not to JF members they dont vote most of them.

Weird enough he chose kindondoni of all places to run for office, what did he think Lowassa was backing him up or somen. Yeah the results confirms my suspicious about the dude he aint a politician embu aangalie wenzake walianza kujiuza muda gani huko kwenye siasa za Ky...
 
I understand from a reliable inside source kuwa wana jimbo were very very impressed with Mpoki ila kinondoni lazima uwe mwislamu au mswahili meaning wa mwambao mwambao as opposed to mbara ili kuweza kushinda kwani lasivyo ccm nao wanaweza kupoteza jimbo hilo. Hivyo nadhani hongera zinastahili kwa kijana huyu mwenzetu kujitokeza na kuweza kuwaimpress wana jimbo kiasi hiki and I hope ataendelea kujijenga kisiasa na kielimu.
 
Public service si ubunge tu, anaweza kufanya kazi za jamii nyingi tu.

Hapa ndipo mnaweza kujua mtu kama anataka ubunge na ukubwa au anataka service. Hivi grassroots organizations ziko wapi? Hivi consumer advocacy groups ziko wapi? Hivi vikundi vya kuongeza literacy na citizenship awareness viko wapi? Hivi organization za grassroot microfinance ziko wapi? Zote hizi zinasubiri watu waanzishe na kuzitumikia, lakini tunaona kila mtu anagombea elected office lakini hatuna grassroot organizations.

Matokeo yake badala ya democracy tunapata electocracy, watu wanapiga kura hata hawajui wanachopigia kura ni nini.

Kwa hiyo personally namuangalia sana Mpoki atafanya nini kwa wananchi now that kakosa nafasi ya kugombea ubunge.Atakachofanya sasa kinaweza kum define vizuri zaidi kuliko hata ubunge.
 
kijana/mzee naona meshindwa kwenye hoja na hata hapa unarudia ze same thing. kama unajua historia ya kinondoni, palikuwepo mzee peter kabisa, je yeye ni muislamu? kinondonikwa sasa imechanganyika saana hivyo suala hili haata kama lipo ni kidogo saana. wewe mwenyewe umeona matokea sehemu nyingi tu kwa mzee malecela, njombe huko etc etc, ni approach yako ndio inaweza kufanya watu wakukubali au wakukatae ukija na majigambo yasiyo na maana utatoa picha isiyo vutia.
 
I think he walks with his academic qualifications cause tz tumekua na wakubwa wengi wanadanganya wamesoma na kuforge certificates so he puts them in the open mzione na anayetaka kufuatilia kama kweli kasoma they can. I hope I am not wrong but nilivyoziona ni
Fist degree, LaSalle University, Philladelphia, USA
MBA, Schiller University, London, UK
MA, UCL, London, UK
MPhil, Sussex University, Birmingham, UK

But yeah anyone can then have checks on these to see kama he really did study au kama ni kama wakubwa wetu wengine zilikuwa forged bongo

Sussex University ipo Brighton ambapo ni mbali na Birmingham au ulikuwa unataka kumaanisha alisoma Sussex University halafu Birmingham University.

Sorry I meant Brighton my head wasn't there. Apologies.
Halafu wewe una majina mangapi?
 
kijana/mzee naona meshindwa kwenye hoja na hata hapa unarudia ze same thing. kama unajua historia ya kinondoni, palikuwepo mzee peter kabisa, je yeye ni muislamu? kinondonikwa sasa imechanganyika saana hivyo suala hili haata kama lipo ni kidogo saana. wewe mwenyewe umeona matokea sehemu nyingi tu kwa mzee malecela, njombe huko etc etc, ni approach yako ndio inaweza kufanya watu wakukubali au wakukatae ukija na majigambo yasiyo na maana utatoa picha isiyo vutia.

Jamaa kaboogie step kwenda na mi vyeti kwenye campaign, watu wakaona huyu limbukeni wambwela gani tena anakuja kama anaomba kazi ya ofisini ?
 
I think he walks with his academic qualifications cause tz tumekua na wakubwa wengi wanadanganya wamesoma na kuforge certificates so he puts them in the open mzione na anayetaka kufuatilia kama kweli kasoma they can. I hope I am not wrong but nilivyoziona ni Fist degree, LaSalle University, Philladelphia, USA
MBA, Schiller University, London, UK
MA, UCL, London, UK
MPhil, Sussex University, Birmingham, UK

But yeah anyone can then have checks on these to see kama he really did study au kama ni kama wakubwa wetu wengine zilikuwa forged bongo

Sussex University ipo Brighton ambapo ni mbali na Birmingham au ulikuwa unataka kumaanisha alisoma Sussex University halafu Birmingham University.

Sorry I meant Brighton my head wasn't there. Apologies.
Mwanzo umepost kama DN mwisho ukapost kama NO NAME.
 
Public service si ubunge tu, anaweza kufanya kazi za jamii nyingi tu.

Hapa ndipo mnaweza kujua mtu kama anataka ubunge na ukubwa au anataka service. Hivi grassroots organizations ziko wapi? Hivi consumer advocacy groups ziko wapi? Hivi vikundi vya kuongeza literacy na citizenship awareness viko wapi? Hivi organization za grassroot microfinance ziko wapi? Zote hizi zinasubiri watu waanzishe na kuzitumikia, lakini tunaona kila mtu anagombea elected office lakini hatuna grassroot organizations.

Matokeo yake badala ya democracy tunapata electocracy, watu wanapiga kura hata hawajui wanachopigia kura ni nini.

Kwa hiyo personally namuangalia sana Mpoki atafanya nini kwa wananchi now that kakosa nafasi ya kugombea ubunge.Atakachofanya sasa kinaweza kum define vizuri zaidi kuliko hata ubunge.

Naona kamjamaa kanataka ku-play u-victim eti kushinda K'ndoni lazima uwe mswahili au muislamu..huyu inaonesha hafai hata ukatibu kata huyu, period. Analeta visingizio huyu. Hana jipya. Kwanza kabla ya kukimbilia kuchukua fomu ya kugombea he should have done his homework kujua CCM ni chama cha namna gani. CCM ni chama cha vilinge (cricles). Mafioso style. Huwezi wewe wakuja from nowhere eti una display mavyeti yako ukategmemea watu watakusikiliza..NO! Ndio maana wana ule msemo wao 'Huyu ni mwenzetu'..it takes a dumb head not to comprehend this.

Kwa upande mwingine, hii sugar-coating iliyowekwa hapa kwamba sijui atafanya kazi na watu kwene micro-economies etc etc, ndio wakati sasa wa kuionesha. Nia ya kweli ya kuongoza mapambano dhidi ya ufukara sio lazima ipitie kwene channel za ubunge. Tunamualika mheshimiwa mgombea mshindwa awe Muhammad Yunus wa Tz.
 
Adbulhalim..... Nimependa hiyo Mheshimiwa mgombea mshindwa..🙂

unatakaje kuwa mbunge wakati huna hata vielelezo vinavyoonyesha umewahi kufanya japo public service ya kujitolea kwenye NGO?
 
Mwanzo umepost kama DN mwisho ukapost kama NO NAME.

I had the first post yes but I can't see hiyo nyingine on the thread. I had infact not see your post. Yes it is Brighton. My better half is finishing his Msc in Birmingham and everytime I see or type any place with a B in the UK I tend to say/write Birmingham. Need to remind myself to watch now!
 
kijana/mzee naona meshindwa kwenye hoja na hata hapa unarudia ze same thing. kama unajua historia ya kinondoni, palikuwepo mzee peter kabisa, je yeye ni muislamu? kinondonikwa sasa imechanganyika saana hivyo suala hili haata kama lipo ni kidogo saana. wewe mwenyewe umeona matokea sehemu nyingi tu kwa mzee malecela, njombe huko etc etc, ni approach yako ndio inaweza kufanya watu wakukubali au wakukatae ukija na majigambo yasiyo na maana utatoa picha isiyo vutia.

No I think the issue ya dini and uswahili is very esential kinondoni now than it was before and with a strong cuf presence ccm has to be careful not to loose the seat.

Nimecopy and paste hii from a news site but angalia first three names out of the ten contestants (ambao ndio wanakua endorsed na nec normally) wote imelazimu wawe ni waislamu and shy rose had to be in despite having been labelled as shollow minded by hao hao waliopiga kura.

Jimbo la Kinondoni

Matokeo ya awali katika Kata ya Magomeni yanaonyesha kuwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Idd Azzan alikuwa akiongoza sehemu nyingi akifuatiwa na Mustafa Murro, Shy -Rose Bhanji na Mpoki Mwambulukutu.
 
Mkuu what you have said is actually a fact, binafsi sikuona umuhimu wa kuongelea hili ndani ya huu mjadala lakini as part of vetting naona kuna haja Mtanganyika na wanaccm wa Kinondoni wakafahamu. Hasa ukizingatia mgombea anajitangaza kwa msisitizo thru academic achievements. Anyways kama kuna mtu ni mwanaccm wa Kinondoni na in anyhow ata - attend hiyo mikutano ya kampeni amuulize Mpoki the following.

Je alipomaliza Arusha school alifaulu kwenda shule gani?????????? Na ni kwa nnini alihama shule hiyo na kwenda Rungwe sec.??????

This is an old post lakini nadhani ni vizuri nikiliweka sawa. Baada ya darasa la saba arusha school, nilichaguliwa kujiunga na arusha seki; nikaomba uhamisho niende rungwe walipokuwa wanaishi wazazi sababu nilikuwa nimesoma boarding tangi darasa la kwanza arusha school; wazazi baadae wakasema nirudi tu arusha aidha arusha seko au ilboru kwani huko ndipo nilikuwa nimezoea, sasa kwasababu mazingira kuishi arusha seki yakawa tata kidogo, ikabidi niende ilboru shule ya kulala.
 
Back
Top Bottom