Pre GE2025 Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kwani watu wa Zenji huwa wanapiga kura kumchagua Raisi wa muungano?
Au wanachagua Raisi wao tu ?, kama ni hivi basi Zanzibar ni nchi, na huu muungano uvunjwe kila mtu kivyake

Mkuu gammaparticles , wewe ni mmoja wa wananchi mnaopaswa kufundishwa katiba, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja wa Tanzania, kila Mtanzania ana haki sawa ikiwemo kumchagua rais waJMT.
P
 
Mkuu gammaparticles , wewe ni mmoja wa wananchi mnaopaswa kufundishwa katiba, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja wa Tanzania, kila Mtanzania ana haki sawa ikiwemo kumchagua rais waJMT.
P
Nauliza hivi?
Sanduku la kura la Zanzibar mwaka 2015, lilikuwa na picha ya Magufuli ?
Na je hizo kura zinajumuishwa na za bara ?
Kama ni hivyo basi Zanzibar inatawaliwa sio iko kwenye muungano
 
Mkuu gammaparticles , wewe ni mmoja wa wananchi mnaopaswa kufundishwa katiba, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja wa Tanzania, kila Mtanzania ana haki sawa ikiwemo kumchagua rais waJMT.
P
Naomba unijibu swali hapo juu
Maana sisi tuliondoka nchini bado wadogo, kwa hiyo naweza kuwa sielewi huu muungano au nauelewa kufikia kuona kuna kitu hakiko sawa
 
Naunga mkono Hoja....
 
Nauliza hivi?
Sanduku la kura la Zanzibar mwaka 2015, lilikuwa na picha ya Magufuli ?
Na je hizo kura zinajumuishwa na za bara ?
Kama ni hivyo basi Zanzibar inatawaliwa sio iko kwenye muungano
Si kweli kuwa sanduku la kura la Zanzibar lilikuwa na picha ya JPM. Hakuna sanduku lolote la kura lenye picha ya mtu bali keratosis za kura ndizo zenye picha za wagombea.

2015 kura zote zimehesabiwa vituoni na matokeo kubandikwa kila kituo, kisha zikajumlishwa na za bara ndipo matokeo ya urais yakatangazwa. Ila kwa upande wa kura za urais wa JMT CCM ilishindwa Zanzibar, Jecha akapindua meza. Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
P
 
Nauliza hivi?
Sanduku la kura la Zanzibar mwaka 2015, lilikuwa na picha ya Magufuli ?
Na je hizo kura zinajumuishwa na za bara ?
Kama ni hivyo basi Zanzibar inatawaliwa sio iko kwenye muungano
Sii kweli sanduku la kura Zanzibar lilikuwa na picha ya JPM, Zanzibar wanapiga kura 5, Rais wa JMT, picha ya JPM na Samia, na wagombea wengine. Ila uchaguzi huo kwa Zanzibar CCM ilishindwa Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
P
 
Kwa hiyo Zanzibar inatawaliwa?
Huu ndio ukweli
No Zanzibar haitawaliwi na bara, it is owned but ina utawala wake wa ndani kitaifa tuu, ila kimataifa Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT ambayo ni nchi moja ya JMT yenye Muungano wa compound ya union ambao ni inseparable, ndio maana Muungano tutaulinda kwa gharama yoyote.
P
 
Kibao kimegeuka sasa ni Dr. Nchimbi!.
P
 
Kibao kimegeuka sasa ni Dr. Nchimbi!.
P
Comrade , adui ukimgundua usimwachie Mungu , Kuna watu wamejioanga zaidi ya miaka 10 kugombea 2025 huko Tanganyika na Zanzibar, jana wamenuna.

Ile agenda iliyopenyezwa na Mkwere usifikiri ilikuwa bahati mbaya, la hasha, ishajadiliwa na pale ilikuwa funika kombe mwana haramu apite!
 
Wabadili katiba yao ya Chama, Mgombea awe automatic 10 years , ili singida Big Stars, Mwezi wa Kwanza na wengine wajue kabisa na wasijiandae na kupoteza mamilioni ya fedha kumbe hawaruhusiwi kugombea.
 
Siku bw pascal ukifanya analysis ya sauti zako "from within" utagundua kuwa wewe una "masauti" yaani demonic voices, ukiyaendekeza utakuja kufanya tendo baya Kama la kivua nguo hadharani

Mwivi "shetani" haji Ila kuchinja, kuiba na kuharibu
 
Kwanza ni kweli kwenye ulimwengu wa roho kuna good spirits na bad spirits, hivyo hizi sauti kuna sauti ni za Roho wa Mungu, the Holly Spirits na kuna sauti ni za shetani, demons.

Kipimo pekee cha kupima ni sauti ya nani, ni kupitia matokeo, kama ni sauti ya kwake YEYE lazima litatimia.
Sasa ili kunipima zile sauti zangu, karibu upime hapa "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…