Pre GE2025 Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli hapa hatuna mtu serious ni maigizo tupu, kazi anayoweza ni ya kuteua, kutengua na kuhamisha watu pekee
 
Huyu bwana anajitangaza sana ITV, hata HBD lazima wamrushe tunaorushiwa wala hatutaki kusikia habari zake yaani no interest, ila kama ni hivyo wabara tunapigwa tena, tujiulize yale maghorofa ya shule za msingi yanaporomishwa kila kijiji huko Zanzibar ni kwa uchumi upi walionao??
 
Kuna Mtu humu JF aliwahi kusema Mama hana mpango wa kugombea 2025. Sababu kubwa ni kwamba kuna kundi kubwa lenye ushawishi ndani ya CCM, ambalo halijamkubali Mama from day one. Wanasubiri 2025 wajitokeze na kumueleza wazi kuwa ameshamaliza nafasi yake ya pili hivyo akae pembeni. Na aking'ang'ania basi hao Jamaa watatumia plan B".

Mama kwakuliona hilo anachojaribu hivi sasa ni kumtafuta atakaeweza kuja kumlinda hapo baadae. Je atafanikiwa?? Endapo atafanikiwa basi kuna uwezekano mkubwa Kundi hilo kujiengua ndani ya CCM.
 
Kwa akili yako unafikiri Mwinyi ndio anaamua kumpinga Samia?


Magufuli mwenyewe hakutaka Samia awe makamu wake ila wenye maamuzi wakalazimisha
 
Hao ni ndugu
 
"Halafu we Pascal si ulituambia Mpango ndio Mpango mzima!au amekua sio Mpango!!?"

Hapo chacha!!!
 
Watoto wote ni wa baba mmoja, hamna kinacho badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…