Pre GE2025 Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo sio VP Mpango tena ?...
 
Mimi nilifikili mkakati huu umekufa baada ya mwendazake kutangulia mbele.
Kama bado upo basi hii itakua si jambo jema.naamini samia anaenda vizuri tu. Kama kuna njia ya kubadilishana na samia arudi visiwani sawa.ila kama wanalazimisha kwa kujiona hao ni bora sio vizuri.
 
Mwizi, jizi, jambazi, fisadi, mla rushwa, etc. Ni Dkt Samia tu 2025, 2035 na 2040! Mungu amlinde Mama yety Dkt Samia!
Sasa kama Majaliwa ni mwizi, jizi, jambazi, fisadi, mla rushwa ni vipi mama Samia ambaye wewe unamuona ni msafi (malaika) amemwamini kiasi cha kumteua kushika nafasi ya juu kabisa (uwaziri mkuu) kwenye serikali yake?

Kwa nafasi ya Majaliwa, ni vipi utendaji wake wa kifisadi unaweza ukautenganisha na Mama Samia?
 
Nikweli unachosema..ila timu ya huyo mtu wa visiwani sio timu nyepesi..hawa vijana wanaopeleka mabilioni nje ndio vijakazi.na ni maandalizi hayohayo. Mwezi wa 7 . 2025 kitakua kipindi kigumu sana.

Jambo hili hata mimi linanitia woga sana, sio la kufurahia hatakidogo.
 
Hili suala liko wazi kama mapaja ya malaya
 
Husein Mwinyi was the real choice of the Magufuli. My group and I will have great comfort in campaigning for him as we did for Magufuli in 2015.

Samia is a huge burden to the nation.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1615532090593886208?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1564188877010751490?s=20
 
bandiko langu la kwanza humu Jf May20.2023.nilieleza kwamaba Raisi wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi kuwa Rais wa Jamuhuri Muungano wa TZ siku za usoni.

Ushindi wa Dr.Tulia IPU na chemistry yake Dr.SSH umewastua wengi sana, imechange completely political equation na equilibrium ya presidential hopefull wote wa ccm 2025 na hata 2030, sasa wamerudi kwenye drawing tables kujipanga upya na kuhamishia macho, jitihada na vita jinsi ya kuukwaa U-PM au U-SPEAKER....

ikitokea mwinyi ndie, basi Dr. Tulia atakua makamu wa Rais na baadae Rais kamili wa JMT...
Lakini pia ikitokea Mwinyi sie bas ni Dr. Tulia Ackson ndie atakua Rais...

In shot, there is no escape root, NO way to escape from these two CCM presidential materials ni ama Dr.Mwinyi ama Dr.Tulia Akson Urais JMT baada ya Dr.Samia whether ni 2025 or 2030..
 
Sasa itakuwaje wakati saa100 alisikika akisema akistaafu hataki kuona watoto na familia yake wakupata shida kama familia ya jknyerere ndo maana ameibinafsisha bandari
 
Kwani JK anasemaje? Tuanzie hapo
 
Siungi mkono hoja hata kidogo ila ngoja tusubirie mda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…