Pre GE2025 Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili nalo mkalitizame
 
 
Mimi kwa nionavyo trend ilivyo, matukio ya rais wa Zanzibar kuja bara, naona wazi 2025 ni Mwinyi.
P
 

CDF ameanza kusema Kuna viongozi wako madarakani tena sehemu za maamuzi. Ile dalili za kuelekea huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
My always wish ni kumuona Hussein Mwinyi akishika Uraisi wa Jamhuri. I see him kufanya makubwa sana ila sasa ndio sijui kama itakuw hivyo. Nadhani Magufuli alikuwa anamuandaa kuwa Mrithi wake baada yake.
Mkuu @dystonia, karibu pande hizi.
P
 
Pinned πŸ’₯↙
Wapo wanaomuona ni msaada 50%,(rural) wapo wanaomuona si msaada 10%.(urban), and 40%, ( dubwana wasilolielewa)
 
Mkuu @dystonia, karibu pande hizi.
P
Hilo linaonekana wazi kabisa!!

Sema wazenji ndio wanamsaidia inaonekana hawamtaki Tena amalize arudi mkuranga!!

Huku bara inawezekana akapenya coz amedumu sana kwenye uwaziri was ulinzi!!

Na Sasa jk ndio msemaji mkuu was wastaafu Hilo liko open!!!

Lakini nature haitaniwi inaweza kumuibua hasta mwingine !who knows!!?
 
Napata shida sana kuona Presidential material mwingine ndani ya CCM baada ya mama isipokuwa Hussein Mwinyi, nadhani hata JPM alikuw anamuandaa huyu jamaa aje baada yake sema tu yakatokea ya kutokea...hao wengine wanaousaka kwa udi na uvumba kina "upara" sioni kabisa kama viatu vinawatosha
 
Fika Zanzibar Ndugu yangu. Amefanya makubwa na wanamuelewa sana tu
 
Majaliwa ni presidential material atatuvusha
 
Bonafsi namuona Majaliwa anaweza kuendesha nchi vema ,kwani hakurupuki na tayari amaesha pata uzoefu wa kutosha jinsi ya uongoza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…