johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi huyu lile tamko la viongozi wa “kamati ya amani” halimhusu?Manabii wa uongo ndio hawa!
Bwashee karibu Ufufuo na uzima!Manabii wa uongo ndio hawa!
Swali fikirishi atadhurikaje akigusa tena baada ya kuombewa je kamuombea kwa kiasi?Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Tena waislamu wa Kawe wamamkubali zaidi askofu Gwajima kuliko Mdee Halima!Mi nasubiri nione atakavyogeuza madrassa na miskiti kuwa Sunday School ...
Waislam wa Kawe nawaamini sana hawana tabia za kinafki kama Alhadi Mussa, tarehe 28 Oct tutamuonyesha kazi
Imani ni kuwa na hakika na mambo yasiyookana!Upumbavu na maigizo ya kishamba kabisa..
Still kuna watu wataamini
Anamfufua lini Amina Chifupa?Bwashee karibu Ufufuo na uzima!
Huyo unamjua wewe!Vipi yule mwanamke kwenye ile video pendwa naye alizimia?