Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Picha, picha, picha
 
Haiongezi kura
 
Hili jizi hivi bado linaendelea kuwarubuni kwa maigizo yake
 
Ni kichwa cha aina gani alichokigusa huyo dada wa saluni??
 
Wewe nawe na udaku huu
 
Bomba kafanya wapi ambapo mmewahi kumuona?katika vitabu vitakatifu watu waliacha kazi zao na kwenda kumfuata bwana yesu,ila huyu kaacha neno kaenda kwenye siasa,sipingi MTU kwenda kufanya siasa ila je ni busara neno LA Mungu kuaachwa kwa ajili ya mambo ya dunia?na yeye alishakili kuwa cheo chake alichopewa na Mungu ni kikubwa kuliko ubunge, usijaribu kuchanganya mafuta maji,angebaki na uchungaji wake ambao ulimpa kibali cha kuwahubiria wanasiasa na kuwaonya wanapokosea,watu ni wengi sana ccm angewachia wafanye kazi hiyo,vipi waumini watajisikiaje?nahodha kaacha meli kakimbilia
 
Kudadadeki! usanii na utapeli wake kaamua kuupeleka hadi salon! 🤣 🤣 🤣
Kawe mmeingiliwa😀
 
Huyu.na wale wa bakwata ..ni kitengo.. tena wapo wengi hasa kwenye dini na vyombo vya habari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…