Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Hivi kwa akili ya kawaida mwenzenu amezimia nyie muendelee kunyoa tu, na baada ya kumaliza ndio muanze kumu attend?

Haya bana, ni muda wa wanasiasa kutufanya wajinga!

Nina jambo langu oktoba 28.
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Miaka kumi mlituangusha sana ngoja tuone 2020.... kawe itakuwaje na mzee baba boss mwenyewe
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Ishu ni kwamba wananchi wanalishwa upepo kwa story ambazo watu wanazitumia na kupotosha dhamira sahihi ya mbunge gwajima ila ukweli ni kwamba gwajima atawanyoosha kwa kutetea wananchi
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Hi imenifungua akili kwann wapinzan wanachanganyikiwa maana wamekutana na mjanja wao wanaogopa kubwenguliwa.
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima ni mtu anaye heshimika sana na kupendwa mno na watu safari hii lazima achukue kura za sisi wananchi wa Kawe
 
Mi nasubiri nione atakavyogeuza madrassa na miskiti kuwa Sunday School ...

Waislam wa Kawe nawaamini sana hawana tabia za kinafki kama Alhadi Mussa, tarehe 28 Oct tutamuonyesha kazi
Sisi waislamu wa kawe mbona tunamuelewa sana Askofu jamani au wewe unakaa kawe ip?
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo muone ni jinsi gani Gwajima anavyopendwa hadi watu wa Saloon wanamuimbia.
Gwajima ni baba lao na ana uwezo wa kuiongoza Kawe kwa asilimia 100
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Dada alikuwa na mapepo yake kwa bahati mbaya akashika kichwa chenye upako mapepo yakakurupuka kweli Gwajima ni moto.
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Muacheni bhana wananchi wake tunamuelewa Gwaji miaka 20 kawe tunamhitaji
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima ndo kabali yenu
 
Wana Kawe wamepata Mbunge makini na mwenye uwezo wa Rohoni na Mwilini mwananchi wa Kawe akipagawa na Mapepo Gwajima anamuweka sawa kwenye mambo ya Maendeleo Gwajima yupo vizuri kweli Kawe itakuwa ulaya.
 
Daah mpaka raha! Halmashauri ilifanya maamuzi mazuri kumpitisha Gwajima maana sio kwa maupako hayo aisee
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Mhhh Askofu ni moto sanaaa apo nimekubali
 
Back
Top Bottom