Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwemo na weweWanaomshabikia huyu jamaa akili zao zitakua fyatu.
Hahhaha nahisi mlkua mnapokezana na huyo muumin kugusa maana sio kwa kujua vichwa vya wanaume wenzio hivyoHuyu gwajima aliemlaza muumini kifo cha mende ? Heb sema vizur huyo dada alitaka kugusa kichwa gan maana Wanaume tuna vichwa viwili
Miaka kumi mlituangusha sana ngoja tuone 2020.... kawe itakuwaje na mzee baba boss mwenyeweAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Ishu ni kwamba wananchi wanalishwa upepo kwa story ambazo watu wanazitumia na kupotosha dhamira sahihi ya mbunge gwajima ila ukweli ni kwamba gwajima atawanyoosha kwa kutetea wananchiAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Baba laoo!Miaka kumi mlituangusha sana ngoja tuone 2020.... kawe itakuwaje na mzee baba boss mwenyewe
Hi imenifungua akili kwann wapinzan wanachanganyikiwa maana wamekutana na mjanja wao wanaogopa kubwenguliwa.Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima ni mtu anaye heshimika sana na kupendwa mno na watu safari hii lazima achukue kura za sisi wananchi wa KaweAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Sisi waislamu wa kawe mbona tunamuelewa sana Askofu jamani au wewe unakaa kawe ip?Mi nasubiri nione atakavyogeuza madrassa na miskiti kuwa Sunday School ...
Waislam wa Kawe nawaamini sana hawana tabia za kinafki kama Alhadi Mussa, tarehe 28 Oct tutamuonyesha kazi
Ndiyo muone ni jinsi gani Gwajima anavyopendwa hadi watu wa Saloon wanamuimbia.Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo Dada alikuwa na mapepo yake kwa bahati mbaya akashika kichwa chenye upako mapepo yakakurupuka kweli Gwajima ni moto.Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Muacheni bhana wananchi wake tunamuelewa Gwaji miaka 20 kawe tunamhitajiAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima ndo kabali yenuAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Biblia ipi iyo jombii ilimuongelea mleta maendeleo kama nabiii wa uongoManabii wa uongo waliongelewa kwenye Biblia ndio hawa!
Wana Kawe wamepata Mbunge makini na mwenye uwezo wa Rohoni na Mwilini mwananchi wa Kawe akipagawa na Mapepo Gwajima anamuweka sawa kwenye mambo ya Maendeleo Gwajima yupo vizuri kweli Kawe itakuwa ulaya.Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Mhhh Askofu ni moto sanaaa apo nimekubaliAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Nilikuwa najiuliz bata fly ndo hakina nano kumbe ndo wewe.Manabii wa uongo waliongelewa kwenye Biblia ndio hawa!