Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Upuuzi mwingine Jo jitahidi kuupotezea tafadhali
 
Mimi huwa natamani kuwaona watu wanaosali kwake jinsi walivyo.
 
huyu bila shaka ni kondoo wake na alikuwa anataka kumla, mishe ilivyostukiwa wakajidai mapepo yamepanda! hatutasahau maigizo yake ya kumfufua mwanafunzi. huyu ni tapeli hafai kuwa hata mjumbe wa myumba kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…