Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Nakuunga mkono kabisa gwajima anatosha kwa maendeleo ya gwajima
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Kama unahitaji msaada toa taarifa
Gwaj boy ni mtu anayejielewa na nimchapakazi na ni mchungaji anayeheshimika
 
binafsi nawakubali saana wapinzani lakini CCM wametuweza Kawe kutuletea mtu ambaye anajitambua saana ,lazima nimchague Gwajima
 
Gwajima Kawe Anachukua jamanii,
Kawe mmependelewa kuwa na kiongozi makini
 
Back
Top Bottom