Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima ni baba wa uwongo
 
Haaaa ha haaaa movie hiyo, usanii mtupu, Gwajima is very arrogant
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Tunataka barabara si miujiza!
 
Nimecheka kweli comments za wananzengo😀😀😀

Hivi gwajiporn nani alimwambia wana kawe wanataka miujiza! Eti waumini wakasema mbunge!mbunge!

Hao waumini wake wanafaa kulambwa tu mboko.
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie afute ile clip yake xxxvideo ndio tutajua anakipawa,sio utapeli tu na afya yake kama janjaro
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajimà anasuka sikuizi?
 
Hivi yule mwanamke aliyekuwa akipigwa miti na Gwajima kwenye ile video aligusa kichwa kipi cha Gwajima? Kichwa cha chini au juu?
 
Labda kama anaongelea kichwa cha chini kilichomsababishiaga yule dada alale kama gogo kitandani wakati wa kupigwa mambo.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Angewakemea wale Mbuzi waliokula picha yake 🐐
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Yule aligusaga kichwa cha chini si ndo angekufa kabisa!
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Hii ilikuwa aina ya kampeni kanisani kwake na sasa inasambaa nje ya kanisa. Wanasiasa uchwara hawana cha kujinadi nacho.
 
Back
Top Bottom