Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Gwajima tunamuamini saana wanakawe na ataleta maendeleo makubwa katika jimbo letu
 
Nakuunga mkono kabisa gwajima anatosha kwa maendeleo ya gwajima
 
Kama unahitaji msaada toa taarifa
Gwaj boy ni mtu anayejielewa na nimchapakazi na ni mchungaji anayeheshimika
 
binafsi nawakubali saana wapinzani lakini CCM wametuweza Kawe kutuletea mtu ambaye anajitambua saana ,lazima nimchague Gwajima
 
Gwajima Kawe Anachukua jamanii,
Kawe mmependelewa kuwa na kiongozi makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…