Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima mtu makini sana uyu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima anatutetemesha sana kwakweli achukue tu ubunge tumekubali anatuweza
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Nikinuu Gwajima alisema hana shida na magufuli wala MTU yoyote..... ila CCM anatamani hata isiwepo alichomaanisha kwa watu wenye kufikiri ni vitu vilivyoendelea ndani ya chama Vilivyokandamiza haki za wananchi ila magufuli alipoingia alibadilisha kila kitu na hii tutakubali wananchi wote CCM ya sasa imenyooka.
 
Hiyo kweli kwa sasa ni mwendo wa nyakua nyaku
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama
Mmeanza sasa kumuonesha Gwajima kama mnamkubali big up hahaha
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo alisubiri amalize kunyoa ndipo aanze kumuombea?
 
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
hakika Gwajima ni mtu aliye na Mungu wa kweli ndani yake .
 
Hahahaha mnamhofia sana wanangu punguzeni kidogo basi hahahahah
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Kawe na maendeleo mapya
 
Nabii & Mtume Gwajima katika ubora wake wa uongo,unafiki & ujinga wa waumini wanaoangamia kwa kukosa maarifa
Freshi tu kuliko kufa kwa kukosa huduma za kijamii, maarifa yanapatikana tu ila vifo vya wajawazito na watoto ulishawahi kupata suluhisho?
Nabii & Mtume Gwajima katika ubora wake wa uongo,unafiki & ujinga wa waumini wanaoangamia kwa kukosa maarifa
mnamfollow duuuuh Gwajima anawaweza
 
Mi nasubiri nione atakavyogeuza madrassa na miskiti kuwa Sunday School ...

Waislam wa Kawe nawaamini sana hawana tabia za kinafki kama Alhadi Mussa, tarehe 28 Oct tutamuonyesha kazi
Mbona sisi waislamu safi wa kawe tunamkubali sana na tunampa kura zetu Askofu au wewe unakaa kawe ipi?
 
Vipi yule mwanamke kwenye ile video pendwa naye alizimia?
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.

Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.

Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.

Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima ni mtetezi wa wanyonge tuachieni shujaa wetu
 
Back
Top Bottom