Kinywaji gani hukupa raha???

Kinywaji gani hukupa raha???

CAPPUCCINO

At late evening mazee......

Kwa hali ya hewa kama ya Arusha mida ya jioni ukiwa umetoka Gym au Swimoo

Halafu unapata kikombe kimoja kikubwa

Aiceee....!
 
CAPPUCCINO

At late evening mazee......

Kwa hali ya hewa kama ya Arusha mida ya jioni ukiwa umetoka Gym au Swimoo

Halafu unapata kikombe kimoja kikubwa

Aiceee....!
Ndo nini eti
 
Ni coffee drink+ cream ya maziwa inakuwa mixed na chocolate...!

Ni bombaa mstue pacha twende mahali tukapate, ipo kwny hotel nyingi za kawaida na restaurant za Moshi na chuga
Itabidi niijaribu siku moja
 
Back
Top Bottom