Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nini etiCAPPUCCINO
At late evening mazee......
Kwa hali ya hewa kama ya Arusha mida ya jioni ukiwa umetoka Gym au Swimoo
Halafu unapata kikombe kimoja kikubwa
Aiceee....!
Ni coffee drink+ cream ya maziwa inakuwa mixed na chocolate...!Ndo nini eti
Itabidi niijaribu siku mojaNi coffee drink+ cream ya maziwa inakuwa mixed na chocolate...!
Ni bombaa mstue pacha twende mahali tukapate, ipo kwny hotel nyingi za kawaida na restaurant za Moshi na chuga
PoapoaItabidi niijaribu siku moja
ntaleta mrejeshoNilipo ni elfu 12 sijui kama ni tamu! Kama unataka tamu kunywa St.Anne hiyo ni tamu saana na bei ni sawa na dompo
Sawa rafikintaleta mrejesho
Chapombe kwenye ubora wako kabisaNilipo ni elfu 12 sijui kama ni tamu! Kama unataka tamu kunywa St.Anne hiyo ni tamu saana na bei ni sawa na dompo
Umetaja pombe tu mtoto mzuri hadi simu ikaleta notification double doubleChapombe kwenye ubora wako kabisa
HahahahahahChapombe kwenye ubora wako kabisa
HandsomeMo passion
Nakupenda sana kigori kwanini unanifanyia hivi?Handsome
Nakusalimia tuu mimi jamani
Nimefanya nini eti handsome.....Nakupenda sana kigori kwanini unanifanyia hivi?
Mabebez wepi[emoji15][emoji15].Nimefanya nini eti handsome.....
Mie nakuzoom tuu na wabebez wakoo
Wapo wengi sana handsome!Mabebez wepi[emoji15][emoji15].
Ni siku mbili sasa sijakuona sweetie.
Wapo wengi sana handsome!
Mie nakuangalia tuu ujue niumize tuu
Huwa naumia sana mimi[emoji29][emoji29] huwa changamsha genge tu Kigori.