Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Binafsi hunywa sana tangawizi iliyochanganywa na Pilipili manga pamoja na asali; kuanzia asubuhi hadi ofisi kufungwa naweza kunywa galoni moja au zaidi. Mara moja moja jioni baada ya kazi huwa nakunywa Bia - "He was a wise man who invented beer." Bia zangu ni lager na light tu.
 
Screenshot_2024-01-28-09-41-58-448-edit_com.android.chrome.jpg
Nikichanganya na Pepsi full burudani
 
Binafsi hunywa sana tangawizi iliyochanganywa na Pilipili manga pamoja na asali; kuanzia asubuhi hadi ofisi kufungwa naweza kunywa galoni moja au zaidi. Mara moja moja jioni baada ya kazi huwa nakunywa Bia - "He was a wise man who invented beer." Bia zangu ni lager na light tu.
Ofisini kahawa kikombe 1 ( black) na maji walau lita 1 kila siku. Baada ya kazi jioni ni Serengeti lights baridiii zisizozidi 3 au 4 safi.
 
Hata kahawa huwa pia nakunya nikiwa kazini. Ila coffee maker ya ofini kwangu binafsi huwa inatengeneza tangawizi tu, hata hivyo nikienda common room huko huwa nakunywa kahawa pamoja na wafanyakazi wenzangu
 
Back
Top Bottom