Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Kinywaji gani ukipendacho zaidi

napenda Ceres Apple
Ni tamu, nikinywa hasa ikiwa ya baridi kidogo inapita vyema kabisa kooni
Hii nilimiksia na Kvant.. kuna dem akapalamia kunywa.. si tamuu? Akagida weeeee baada ya dk 10 nikaona mtu ananishika shika kifuani.

Mie kama kawaida nikabeba mzigo wangu nikautia ktk ndinga huyo mwendo wa ngiri mkia juuu magetoni.

Ceres ya apple na Kvant au Gin yoyote ile ni hatari sana.... kwa mtu ambae sio mlevi akipiga hiyo asikii uchungu anaona raha tu kumbe ndio anaondoka hivyo..
 
Popote ulipo Depal najuta kukujua. Nimekua addicted na 6% alcohol.

PXL_20240128_194702672.NIGHT.jpg
 
Napenda wanzuki aka mabuyu. Ukilifungua linafoka balaaa na Lina Sheria zake.
1.kama ulishake chupa acha litulie ndo ufungue tena unajua unafungua taratibu taratibu. Ukifungua moja kwa moja kizibo utakiokotea mbagara Kama ulikua kawe.
2.ukinywa lazma ukojoe Mara kwa Mara. Usinywe chupa nyingi muda mfupi kabla ya kulala inaweza limwaga kojo Kama ulikunywa kiwango Cha kulewa
 
Back
Top Bottom