Hiyo unakunywa peke yako hapa duniani maana sidhani kama ipoJuice ya pilipili na ya maparachichi
Ipi kati ya pilipili na parachichi?Hiyo unakunywa peke yako hapa duniani maana sidhani kama ipo
Nilitembelea Tanga kipindi fulani nikajaribu Anjari soda. Inaladha nzuri, poa sana ukinjwa joto likiwa kali. Tatizo moja niligundua Anjari soda inaacha rangi nyekundu mdomoni. Kingine ni Olivia Pope...jina zuri.....nimemkumbuka Olivia Pope. One perfect heart of love from Arusha.Pepsi baridiiiiii au Anjari soda za kwetu Tanga yani hivyo vinywaji nkivishusha kooni naanza kuimba Mungu ni pendo!!
mi napenda carabao wale sponsor wa chelseasweetmangi... Chibukuu
mi napenda carabao wale sponsor wa chelsea