Kinywaji gani ukipendacho

Kinywaji gani ukipendacho

5ef29256b1b14df1223c34c9e39b4b12.jpg
Ya mke wangu na yangu.
 
Pepsi baridiiiiii au Anjari soda za kwetu Tanga yani hivyo vinywaji nkivishusha kooni naanza kuimba Mungu ni pendo!!
Nilitembelea Tanga kipindi fulani nikajaribu Anjari soda. Inaladha nzuri, poa sana ukinjwa joto likiwa kali. Tatizo moja niligundua Anjari soda inaacha rangi nyekundu mdomoni. Kingine ni Olivia Pope...jina zuri.....nimemkumbuka Olivia Pope. One perfect heart of love from Arusha.
 
Back
Top Bottom