Utakuwa wa mwendo kasi wewe.VIMTO ndo kinywaji gani hicho
We jamaa mbona huvijui...Kinywaji cha wapi hicho mkuu,ni kilevi? au soft drink
Hata dompo wine kutoka dodoma mhh!!!I see,kuna vinywaji vingi sana sivifahamu kwa kweli,DOMPO?
Especially the red one.Wine
Power number 1Kiroba especially kile cha kutoka Malawi na Kongo
Ulijaribu na Heltho....Nilitembelea Tanga kipindi fulani nikajaribu Anjari soda. Inaladha nzuri, poa sana ukinjwa joto likiwa kali. Tatizo moja niligundua Anjari soda inaacha rangi nyekundu mdomoni. Kingine ni Olivia Pope...jina zuri.....nimemkumbuka Olivia Pope. One perfect heart of love from Arusha.
Dah! Mi ni wa soft drink tu so iwe lite alcohol au hard one sizifahamu nyingi zaidi ya product za TBL na chache chache ambazo ni common zinazonyweka sana kama Grant's,Vodka n.kWe jamaa mbona huvijui...
My favourite is black label- John WalkerDah! Mi ni wa soft drink tu so iwe lite alcohol au hard one sizifahamu nyingi zaidi ya product za TBL na chache chache ambazo ni common zinazonyweka sana kama Grant's,Vodka n.k
Ha ha,ipo humu kwa watu waliofunga choo.Ni dawa.Juice ya ukwaju[emoji39]
Ipo wapi kk, nitilieni na mimi japo glass mojaHa ha,ipo humu kwa watu waliofunga choo.Ni dawa.
Hii kitu ukinywa halafu ukaenda kula ile kitu inakuwa ni hatari sanaGordons huwa inanifanya niwe na roho safi kama nimekunywa maji ya sabuni vile
Tena ikiwa ya motoJuice ya ukwaju[emoji39]