UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Karibu juice ya ukwaju mkuuTena ikiwa ya moto
Mkuu hyo juice ya ukwaju ukinywa ya moto wa kuchemshwa inabid ushinde na kanga au msuriKaribu juice ya ukwaju mkuu
Nikutilie kwenye glass ndogo ya tsh300 au glass kubwa ya jero
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Mkuu hyo juice ya ukwaju ukinywa ya moto wa kuchemshwa inabid ushinde na kanga au msuri
Castle lite baaaridiiiii
Njoo hapa Mombasa Highway tule vituumeniacha njiapanda Himo.
Especially the red one.
Number one(Gongo) + PinguNi kinywaji gani unavyokunywa unahisi umetengenezewa wewe kwa namna kinavyokuingia kooni kwa ladha yake tamu mdomoni mwako.
I see,I like Grand Malta!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanzuki.
Hahahaaa.... Inaonekana anakukera eehWe jamaa mbona huvijui...
Nipo nyuma yakoJuice ya ukwaju[emoji39]
Naona wewe ni wa wilayani ndo maana una povu ka OMO.wa mkoani utawajua tu vinywaji wanavyotaja