Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #141
Mimi nakwambia biashara ya watumwa tunayoizungumzia ni ya wazungu kuwataja waarabu kwa huku Afrika Mashariki ni vita ya kidini kati ya wakristo na waislamu.Waarabu waliwahi kuwa na watumwa lakini huko kwao kabla ya Mtume Muhammada s.a.w .Hiyo sisi haituhusu.Waarabu na wazungu wamefanya biashara ya watumwa. Hiyo haifutiki hata miaka 100%.
Miaka hii 2023, Ni rahisi sana muafrika kuishi kwenye nchi ambazo siyo za waarabu akazaa na akawa kizazi chake, Marekani, canada, australia, uingereza n.k ila siyo nchi za waarabu zenye waislamu wengi. Mfano hai Tunisia. Watakuua ili kizazi cha kiarabu kisipotee. Kuna mwarabu wa kiislam alimchoma mwafrika kisu, wakitaka waondoke hawawataki waafrika.
Shida yenu mkiwa kwenye dini ya waarabu na nyie mnajifanya waarabu wakati wenyewe hawawataki.
Nikikuwekea visa ya nchi yoyote ya uarabuni na Marekani au Canada, utaenda Marekani au Canada.
Ugomvi wa mtu mmoja kumchoma mwenzake kisu huko Tunisia umefanya ndio ushahidi wa waarabu kuwachukia waafrika.Hujaona makumi ya watu weusi wanaouliwa kinyama huko Marekani tena na vyombo vya dola kabisa.Halafu zaidi watunisia ni waafrika kama sisi.kama kulikuwa na ugomvi yawezekana ni wa aina nyengine sio kwa ajili ya uarabu na uafrika.
Uislamu sio dini ya waarabu kama unavyosema wewe,hii ni dini ya walimwengu wote.Hebu weka hivyo visa vya waarabu tutafute ukweli kama ni kweli au ni vile vile vita vyenu vinaendelea. vya kusingizia watu uongo kwa makosa ya watu wengine.