Ikiwa katika usajili waislamu wanawekewa vikwazo lukuki na wakifanikiwa kupata kibali zinatafutwa sababu ndogo kuzifunga hospitali zao utaonaje madawa yao hapo bandarini.
Jengine iwapo kumbe kuna msamaha wa kodi kwa vitu vya kidini vya kikristo mbona mkifika huko vituoni hamtibu bure na wala hamuweki nafuu ya matibabu. Huo ni ujanja ujanja wenu tu kuikuza imani yenu kwa migongo ya kodi zetu.
kama wanafunga hospitali zenu, ni kwasababu zinakosa vigezo, kuna sababu za msingi, na watakuwa wamewaambia nini cha kuboresha. kwa taarifa yako katika nchi hii vitu vya waislam huwa vinafanywa kwa umakini sana kuhakikisha havizuiliwi kwasababu vikizuiliwa inajulikana jinsi mnavyojua kulalamika. pia, jua kuwa, kama vile ambavyo bakwata haipendwi na waislam wote, na pengine kuna baadhi ya vitu vya kiislam vinapita kwa mgongo wa bakwata, waislam kama wa shia hawawakilishwi, vivyo hivyo hata huku, mimi ninayeandika sio mkatoliki na katu sitakuja kuwa mkatoliki, na shirika la dini lililoingia hayo makubaliano ni catholics ambalo mimi simo. sio wakristo wote tanzania ni wakatoliki, hao walokole wengi kama mchanga, walutheran, anglican, moravian na makanis ameengi sio wakatoliki na hawamo kwenye hayo makubaliano.
ila catholics wametujengea hospitali na mashule watoto wetu wanasoma na tunatibiwa kwenye hospitali zao. mimi natibiwa hata kama mimi sio mkatoliki na sitegemei kuja kuwa mkatoliki. pia jua kwamba, ni serikali iliwaomba catholics kuingia hayo makubaliano kwasababu catholics wamefika hadi sehemu serikali haijafika, hospitali nyingi tu kwa mfano zimekuwa designated na serikali na serikali naajiri watu kwenye hospitali hizo hata kama ni za kidini kwasababu serikali haina hospitali kuwaajiri watu wake waliosoma, inapunguza tatizo la ajira. pia, watu wa dini zingine hata madhehebu yangu mimi pia hatujazuiwa kwenda serikalini kuingia hayo makubaliano, nendeni hata kesho mseme kwasababu wakatoliki wamekubaliwa hili na sisi tunaomba, muone kama mtakataliwa. pia, jua kuanzia leo, catholics wana nguvu sana, na hawategemei serikali,wanategemea misaada ya ulaya na sadaka, hata leo hii mkiondoa huo ushiriki wenu au hizo incentives, hakuna shule wala hospitali yao moja tashindwa kufanya kazi.
mwisho, acha wivu, subiri uugue ili uone kama catholics hawatakutibu ukienda kwenye hospitali zao. usiwe na wivu labda kwasababu dini yako imeshindwa kufanya jambo fulani, dini nyingine ikifanya unaona inapendelewa. acha ujinga.