Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Considering our history and past experiences with Arabs, our neurosis is dully justified. Not only Arabs, many sane black Africans view any fair skinned individual , Whites, Chinese and Indians with great suspicion. It is rooted in our history, for hundreds of years Arabs have been the architects of our miseries, like the infamous East African Slave Trade. Without a trace of doubt, history tells us that not long-ago Zanzibar was the epicenter of slave trade.

Unless you're a religious zealot who puts sensationalism over empirical and scientific fact, this relationship is like vinegar to the teeth and smoke to the eyes.

Inferior complex inatutesa sana waafrika
 
Sio kweli kuna kampuni ya mafuta nimefanya kazi ni ya waarabu na HR ni mkristo tena mlokole jmosi Haji kazini na wakristo wapo wa kutosha Tu na Hakuna mtu anayebugudhiwa dini yake

wakristo wanaongoza kubagua waislamu kwenye ajira hapa nchini, ila wao wanakuwa very insecured muajiri anpokuwa ni muislmau. Chuki zinaatesa sana hawa ndugu zetu.
 
MKATABA WA KIMANGUNGO

Badilisheni huo MKATABA

Ishu sio waarabu, Wala wazungu.

Sio wazanzibar, sio waislamu, sio Wanawake

Ni mkataba wa kimangungo yaani unakubali kusaini kujifunga kwa vitu vingi.

Badilisheni mkataba kelele ziishe sio siku mambo yakiwa mabaya tuanze kuseme NILISHAURIWA VIBAYA.
 
UNAJUA NI UJINGA SANA MTU KUJIITA MZANZIBAR WAKATI ASILI YAO HAO WAZANZIBAR NI BARA NA MOST OF THEM NI WASUKUMA NA WANYAMMWEZI MUULIZE MZANZIBAR YOYOTE AKWAMBIE CHIMBUKO LAKE KAMA SIO BARA ILA WAO WANAJIFANYA WAARABU DUH NOMA KWELI WAKATI WENGI WAO WANZAZIBAR WEUSI NI WASUKUMA NA WANYAMMWEZI KUTOKA TABORA TROUGH SLAVE TRADE
 
hakuna kitu kibaya kama kuwa mjinga halafu mwenyewe ukajiona ni mjanja na kushutumu wengine ujinga. unatilisha huruma ndugu.
 
Sasa
hakuna kitu kibaya kama kuwa mjinga halafu mwenyewe ukajiona ni mjanja na kushutumu wengine ujinga. unatilisha huruma ndugu.
Sasa Mimi nimeongea ujinga wakati nimeongea ukweli kabisa tatizo ukweli MCHUNGU
 
Kwa kiingereza wenyewe wanasema "do not put all your eggs in one basket" hivi kukabidhi bandari zote kwa mwarabu mshenzi tuu hiyo ni akili au matope bora angepewa mchina. Niambie mwarabu ana msaada gani kwa sio Tanzania tu bali Afrika nzima. Wale wanataka kuleta ushenzi wao hapa na tutawafurikua ngoja huyo mama aleye waweka hapo aondoke

Iran pekee inaidai tz zaid ya tirion
Nchi za kiarabu zinatoa misaada na mikopo bila masharti ya kifedhuli kama wazungu...najua utabisha kwa kua hutaki ukweli
 
Back
Top Bottom