Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Which planet are you from from ?

Africa hasn't rid itself of the hangover of colonial legacy, you can put this in the bank. You're being complacent because you suffer from a dangerous malady called Political Amnesia. Back in early 2000's voices like these were raised, when the White Government of America wanted to turn Kigamboni into a naval and a spy-base like Camp Limonnier at Djibouti.

Due to security concerns the plan ended up in a pipeline, all thanks to God for shrewd people like Col Apson Mwang'onda and other bureaucrats who put country first above flattery and big paychecks.

To this day Arabs still linger on their medieval slavery mindset, a good example is what is happening in Mauritius and Libya after the fall of Ghaddafi's regime. The UAE cannot even treat its neighbour like Yemen with dignity, their Emir has launched a brutal invasion killing women and children with impunity. Why would any sane government want to associate themselves with people like that ?

I say it again, unless you're a religious fanatic, you'd view this transaction with great skepticism...

[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Obama (mwafrika) alichaguliwa kuwa Rais wa marekani, wakati Sunak(mhindi) ni waziri mkuu wa Uingereza.
Hebu fikiria nini kitatokea ikiwa mhindi au mwarabu au mchina atagombea urais wa Tanzania.

Na kwenye uongozi wake hawajawai kumwambia yeye ni mkenya wala muafrica hata alipokua akikosea
 
Na kwenye uongozi wake hawajawai kumwambia yeye ni mkenya wala muafrica hata alipokua akikosea
Ajabu kubwa hii iliyopo Tanzania.Yaani tumekuwa na chuki na visasi vya ngamia.Unamuona mtu yupo kimya kumbe anadoelea nafasi tu atoe chuki za moyoni mwake.
 
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele.

Kama kuna nchi zingekuwa na hofu na waarabu basi ingekuwa ni Kenya na Rwanda kwani uhusiano wa nchi hizo na waarabu ni wa chini kuliko wa Tanzania.

Waarabu ni waasisi wa shughuli karibu zote za kiuchumi ikiwemo biashara na kilimo kwa Tanzania..Zaidi ya hivyo Tanzania ina idadi kubwa sana ya raia zake wenye asili ya kiarabu.

Iwapo Uiengereza haina tatizo kutawaliwa na viongozi wake wakubwa wenye asili ya Tanzania na Kenya na India.Tanzania ina ujinga gani na umetokea wapi wa kupinga kila mradi unaotokana na waarabu.

Mimi natilia shaka kwenye vitabu vya historia vinavyofundiswa mashuleni kwetu.Kuanzia sasa somo la historia lenye kutaja ujinga na chuki vifutwe kabisa.
Kuna mtu mmoja kutokea visiwani awamu ya pili aliuza eneo la LOLIONDO huko bara,kwa waarabu hao hao, hadi leo Wananchi wa Loliondo wanalia na kuteseka na wanaomba mungu amalize ugomvi wao na huyo mtu.
 
fafanua kidgo ueleweke
 
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele.

Kama kuna nchi zingekuwa na hofu na waarabu basi ingekuwa ni Kenya na Rwanda kwani uhusiano wa nchi hizo na waarabu ni wa chini kuliko wa Tanzania.

Waarabu ni waasisi wa shughuli karibu zote za kiuchumi ikiwemo biashara na kilimo kwa Tanzania..Zaidi ya hivyo Tanzania ina idadi kubwa sana ya raia zake wenye asili ya kiarabu.

Iwapo Uiengereza haina tatizo kutawaliwa na viongozi wake wakubwa wenye asili ya Tanzania na Kenya na India.Tanzania ina ujinga gani na umetokea wapi wa kupinga kila mradi unaotokana na waarabu.

Mimi natilia shaka kwenye vitabu vya historia vinavyofundiswa mashuleni kwetu.Kuanzia sasa somo la historia lenye kutaja ujinga na chuki vifutwe kabisa.
Yalianza enzi za utumwa.
 
Yalianza enzi za utumwa.
Utumwa hasa ulikuwa wa wazungu kununua waafrika kule magharibi ya Afrika na tena kwa kutumia nembo ya dini ya Ukristo..Na Kwa Tanzania na ukanda wa Afrika mashariki ni hao hao waliokuwa na soko kubwa ndani ya kanisa kule Unguja.
 
Ila kiukweli tukipata fursa ya kuangalia mikataba zaidi ya 2000 ambayo ilikwisha fanyika unaweza kuona mambo makubwa zaidi ya mkataba wa DP
 
Na unakuta mtu anataka mwarabu anunue Manchester United au Liverpool lakini hataki mwarabu awekeze Bandari kisa Pengo na padri Slaa kamshikia akili
Kama mngekuwa mnawaza na nyie siku moja mtawekeza kwenye nchi zao mbona mngekuwa na amani?

Akili za kijinga sana kujiona dhalili kisa kuna rangi fulani imewekeza na kutunyonya

Laiti mngejua Qatar alivyowekeza na kununua baishara nyingi na nusu ya majengo London basi kuna watu wangejinyonga

Wamenunua hisa mpaka Barclay's
Wamenunua Shard, Canary Wharf imebebwa, Shell center, hata Claridge's of London iko mikononi mwa matajiri wa Qatar na hata Harrods pia

Sasa kama kulaumu nchi imeuzwa basi [emoji636] ndio waseme hivyo kuwa Waarabu wamewatawala lakini badala yake wanafurahia investment na kodi wanazokusanya

Sasa nyie mtu anawekeza badala ya kuchukua fursa kama Qatar anavyowauzia na Gas huku akifaidi shares zote za London

Na sisi tupeleke bidhaa zetu uarabuni basi hata matunda na mboga kwa wingi pia tuna vitu vingi kama dhahabu

Je mmewaza kufungua maduka ya Dhahabu Dubai? Au mna akili za kutukana tu
Ni ujinga na umasikini tu unawasumbua watu!
 
Sio kweli kuna kampuni ya mafuta nimefanya kazi ni ya waarabu na HR ni mkristo tena mlokole jmosi Haji kazini na wakristo wapo wa kutosha Tu na Hakuna mtu anayebugudhiwa dini yake
Hawa hawawajui waarabu.
Mwarabu hana bughudha na dini za watu tena anaheshimu sana.

Nakumbuka kuna siku nilikuwa nimekaa na wa misri, mbongo mmoja akawauliza huko na wakristo mnaishi nao vipi?

Jamaa akamjibu huyu ni mkristo, yule ni mkristo, mimi ni muislamu yule ni hivi na yule ni hivi!! Mbongo akabaki kutoa macho!
 
Umasikini mbaya sana mkuu mpaka wanakosa akili na mbaya zaidi kujiweka kundi la wanyama maana hata kuwaza hawawezi wanaishia kutoa matusi tu
Unajua ujinga kwa namna nyengine unaondoka kwa kutembea. Ashakum si matusi! Wabongo wengi ni masikini. Hawana pesa za kutembea maeneo tofauti duniani kujifunza.

Mashabiki wa England walivyokuwa wanahojiwa kombe la dunia nchini Qatar wanasema vyombo vya habari vya nchini mwao vimewaongopea vya kutosha kuhusu waarabu na Qatar. Waliyoyaona kwa Qatar na jamii za kiarabu ni tofauti kabisa kama walivyokuwa wanaaminishwa.

Sasa mbongo hiyo pesa ya kuondoa huo ujinga wao mara mwarabu hivi mara vile atautolea wapi?

Ataendelea kuwa mjinga kwa sababu ya umasikini tu!
 
Ukiingia kwenye ndege zinazokuja Tanzania sisi wenyewe hatuzidi hata 10%.Ndege karibu yote ni wageni ama wachina wanaofanya biashara Tanzania.Lakini nchi za wenzetu ukienda wenyeji mara zote wanazidi 50%. Si umaskini wa pesa tu hata kisiasa tuko nyuma sana.Tunashupalia historia za kizushi tu.
Ningekuwa mchoraji mzuri ningechora mchoro wa bandari ya Tanzania itakavyokuwa mwaka 2028 kwa upuuzi wetu dhidi ya bandari kavu ya Rwanda itakayochukua mizigo kutoka Kenya.Yetu itakuwa kama kijiji cha wavuvi na wasafriri wa majahazi
 
Ni ujinga na umasikini tu unawasumbua watu!
shida kubwa ni ubongo wenu, umejaa matope ya udini na utumwa wa fikra. mwarabu kwenu ndio malaika. sisi tuliowengi, hasa watanganyika, hakuna hata mmoja anayepinga mwarabu kuwekeza. tunapinga vipengele vya mkataba, haviko sawa. wakiweka vipengele vikawa sawa nakuambia hakuna mwekezaji bora kama Dubai, nani asingependa awe connected na bandari ya dubai ambayo ipo busy sana, wao wana connections za meli nyingi toka ulaya, japan na china n.k, hivyo ukiungana nao meli zinazopitia kwao na hasa kama wao hapa ndio wanaoiendesha bandari meli hizo watazielekeza hapa na bandari yetu itakuwa busy sana na mapato yatapatikana. kwa kifupi, connection ya Dubai ni hot cake kwetu na hakuna mwingine anayeweza kuwa bora kuliko dubai kama hatutakuwa tumejenga bandari ya bagamoyo.

shida ipo hapo. na ukumbuke, Oman ambao ni waarabu na wajomba zako walishasainiana na China kujenga bandari ya bagamnoyo, kwani hao sio waarabu? waoman ni waarabu tena hapa Tanzania waarabu waliopo wengi ni asili ya Oman na Yemen. hao walitaka kujenga bandari ya bagamoyo ili nao wawe kama Dubai, yaani meli zikitoka China kuja Afrika, zisipitie dubai, zipite moja kwa moja hadi Oman, na toka Oman zije Bagamoyo (and you know Oman wanaijua sana bagamoyo na route yake kwasababu wameendesha sana biashara ya utumwa na bagamoyo ilishakuwaga mji wao wa kibiashara hapo kale),...hivyo Oman nao wangekuwa busy kama ilivyo dubai kwasababu meli toka china ni nyingi sana.

sasa Dubai kuona kitumbua kinataka kwenda Oman na china kwenye bandari ya bagamoyo, ndio kaja na mkataba kwamba yeye akikamata bandari ya Dar es salaam basi tusijenge bandari zingine bila yeye kuambiwa, yaani tumwombe ruhusa kwenye nchi yetu. maana yake ni kwamba, hataki bandari yeyote ijengwe hapa bongo itakayoshindana naye, au kwa lugha nyingine, hataki Oman (mwarabu mwenzake) ajenge bandari kwa kushirikiana na china, bandari ya bagamoyo waliyokuwa wanataka kujenga ambayo ingepunguza biashara yake ya usafirishaji pale dubai.

kwa hayo machache, hebu jifikirieni muone hakili zenu zilivyojaa funza, na mnachowaza siku zote ni udini na mwarabu tu, ndio maana tulisema hata mwarabu akitoa harufu huwa mnasema hiyo ni pafyumu tu. Kama tunamtaka Oman, utasema tunachukua waarabu? kwani Oman ambao wana ndugu wengi sana Zanzibar na bara sio waarabu? hamtaki Oman naye awe Dubai? au kwa akili zenu fupi mnafikiri yale maendeleo yaliyopo pale Dubai atayahamishia kama yalivyo hapa bongo kwa kuyakopy na kuyapaste? mbuzi zingine hazinaga akili kabisa kabisa.

fikiria haya hapa chini;

1. Dubai wapewe DSM port, waendesha kwa ufanisi sana.

2. Oman na china pia wapewe ridhaa ya kujenga bandari ya Bagamoyo ili washindane na DP world, huu ni ulimwengu wa ushindani, sio wa monopoly kama ilvyokuwa enzi zileee? watu washindanishwe na huduma zitakuwa bora zaidi.

3. mtu mwingine yeyote apewe bandari yeyote, iwe ya Tanga au mtwara, aendeshe zishindanishwe na bandari zingine, hiyo ndio capitalism, uwepo uwekezaji wa kiushindani, wawekezaji wawepo wengi washindanishwe kwa huduma, sio mmoja ili awe ndio final say, akishindwa yeye uchumi wote unaporomoka hadi asimame tena.

lakini hiyo haiwezekani kwasababu dp world hataki bandari ya bagamoyo au ingine ijengwe isije kushindana naye. na kama hakutakuwa na bandari shindani basi yeye atakuwa mungu mdogo atakayefanya lolote atakalo kwasababu tukimzingua atatuadhibu kwa kupitia bandari. hivi akiamua tu kuhujumu miundombinu akasema bandarini kunahitaji ukarabati hata mwezi na hakuna bandari ingine inayooperate, mwezi mzima tunamtegemea yeye tu, hali itakuwaje? unampa mtu monopoly ya kitu kwenye nchi yako? badala ya kuweka ushindani ili mmoja akizingua mwingine anafanya? unakabidhi uhuru wako wooote kwa dp world, ulishasomaga history zile enzi za monopolism? ndio hizo sana, ambazo mtu mmoja au watu wachache wanweza kuponopolize uchumi wakakufanya chochote ukawa mtumwa kwenye nchi yako, tutakuwa watumwa wa dp world hata akifanya chochote hauwezi kumfanya lolote kwasababu bandari zoooote ziko mkononi mwake. hivyo ndivyo samia na mbalawa wanavyotaka iwe? usalama wa taifa upo wapi kufikiria kwa mawazo kama haya?
 
Unajua ujinga kwa namna nyengine unaondoka kwa kutembea. Ashakum si matusi! Wabongo wengi ni masikini. Hawana pesa za kutembea maeneo tofauti duniani kujifunza.

Mashabiki wa England walivyokuwa wanahojiwa kombe la dunia nchini Qatar wanasema vyombo vya habari vya nchini mwao vimewaongopea vya kutosha kuhusu waarabu na Qatar. Waliyoyaona kwa Qatar na jamii za kiarabu ni tofauti kabisa kama walivyokuwa wanaaminishwa.

Sasa mbongo hiyo pesa ya kuondoa huo ujinga wao mara mwarabu hivi mara vile atautolea wapi?

Ataendelea kuwa mjinga kwa sababu ya umasikini tu!
Mkuu exposure hawana kabisa, kuna mmoja kanitukana anafikiri nina kadi ya kupigia kura [emoji1] [emoji1787] ya huko poor sod

Hajui niliondoka wakati Baba yake yuko shule ya msingi

Mimi sisomi vitabu bali huwa naangalia passports zangu Tatu zilizojaa hiyo ni elimu tosha ila wengi kuvuka borders wanaona ni jambo gumu sana
 
Back
Top Bottom