Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Considering our history and past experiences with Arabs, our neurosis is dully justified. Not only Arabs, many sane black Africans view any fair skinned individual , Whites, Chinese and Indians with great suspicion. It is rooted in our history, for hundreds of years Arabs have been the architects of our miseries, like the infamous East African Slave Trade. Without a trace of doubt, history tells us that not long-ago Zanzibar was the epicenter of slave trade.

Unless you're a religious zealot who puts sensationalism over empirical and scientific fact, this relationship is like vinegar to the teeth and smoke to the eyes.
Who was behind the buying of slaves in Zanzibar.Arabs or Europeans.Ofcourse it is Europeans.Why that has melted away wtih time.Why Arabs are mentioned every where concerning this slave trade forgetiing the real doers of the trade.
 
Which planet are you from from ?

Africa hasn't rid itself of the hangover of colonial legacy, you can put this in the bank. You're being complacent because you suffer from a dangerous malady called Political Amnesia. Back in early 2000's voices like these were raised, when the White Government of America wanted to turn Kigamboni into a naval and a spy-base like Camp Limonnier at Djibouti.

Due to security concerns the plan ended up in a pipeline, all thanks to God for shrewd people like Col Apson Mwang'onda and other bureaucrats who put country first above flattery and big paychecks.

To this day Arabs still linger on their medieval slavery mindset, a good example is what is happening in Mauritius and Libya after the fall of Ghaddafi's regime. The UAE cannot even treat its neighbour like Yemen with dignity, their Emir has launched a brutal invasion killing women and children with impunity. Why would any sane government want to associate themselves with people like that ?

I say it again, unless you're a religious fanatic, you'd view this transaction with great skepticism...
 
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele.

Kama kuna nchi zingekuwa na hofu na waarabu basi ingekuwa ni Kenya na Rwanda kwani uhusiano wa nchi hizo na waarabu ni wa chini kuliko wa Tanzania.

Waarabu ni waasisi wa shughuli karibu zote za kiuchumi ikiwemo biashara na kilimo kwa Tanzania..Zaidi ya hivyo Tanzania ina idadi kubwa sana ya raia zake wenye asili ya kiarabu.

Iwapo Uiengereza haina tatizo kutawaliwa na viongozi wake wakubwa wenye asili ya Tanzania na Kenya na India.Tanzania ina ujinga gani na umetokea wapi wa kupinga kila mradi unaotokana na waarabu.

Mimi natilia shaka kwenye vitabu vya historia vinavyofundiswa mashuleni kwetu.Kuanzia sasa somo la historia lenye kutaja ujinga na chuki vifutwe kabisa.
hii yote kuwa na rais mjinga mjinga ndo shida.
 
Mama kahusika vipi kuwaweka hapo.Ni ujinga wako tu unaokwambia hivyo.Suala limepita bungeni kwenye watu wenye akili kuliko wewe.
Kwani yule msomi kuliko wote Tanzania mwenye digrii tisa, yupo bungeni?
Na sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Kuwa na akili kuliko wote siyo sifa ya mbunge wa JMT.
 
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele.

Kama kuna nchi zingekuwa na hofu na waarabu basi ingekuwa ni Kenya na Rwanda kwani uhusiano wa nchi hizo na waarabu ni wa chini kuliko wa Tanzania.

Waarabu ni waasisi wa shughuli karibu zote za kiuchumi ikiwemo biashara na kilimo kwa Tanzania..Zaidi ya hivyo Tanzania ina idadi kubwa sana ya raia zake wenye asili ya kiarabu.

Iwapo Uiengereza haina tatizo kutawaliwa na viongozi wake wakubwa wenye asili ya Tanzania na Kenya na India.Tanzania ina ujinga gani na umetokea wapi wa kupinga kila mradi unaotokana na waarabu.

Mimi natilia shaka kwenye vitabu vya historia vinavyofundiswa mashuleni kwetu.Kuanzia sasa somo la historia lenye kutaja ujinga na chuki vifutwe kabisa.
Obama (mwafrika) alichaguliwa kuwa Rais wa marekani, wakati Sunak(mhindi) ni waziri mkuu wa Uingereza.
Hebu fikiria nini kitatokea ikiwa mhindi au mwarabu au mchina atagombea urais wa Tanzania.
 
Alafu ukute ni mashabiki wa yanga, huku wanalia Nabi kuondoka kule hawataki mwarabu kuingia bandarini! Hii ni double standard
 
Obama (mwafrika) alichaguliwa kuwa Rais wa marekani, wakati Sunak(mhindi) ni waziri mkuu wa Uingereza.
Hebu fikiria nini kitatokea ikiwa mhindi au mwarabu au mchina atagombea urais wa Tanzania.
Siyo tu Tanzania mkuu, nchi za kijamaa Zina mambo ya kipuuzi sana! Atokee mtu mweusi akagombee uraisi Russia(samahani kwa mashabiki wa Russia), hiyo siku anatangaza tu atatumiwa bomu la sumu litapita Hadi kitandani kwake kummalizia hapo hapo! ujamaa ni upimbi wa Hali ya juu kuwahi kuruthishwa! Yaani unajenga chuki na matajiri bila sababu ya msingi! Leo hii mtu kama MO angeteuliwa kuwa Waziri wa fedha ndiyo ungewajua waTZ ni watu wa aina Gani! Wenyewe tumepandikizwa mbegu kwamba kabila Fulani(mbaya zaidi zimekuwa cited zile zilizoendelea) hazitakiwi kutoa raisi wa TZ! Zinatakiwa kabila za nyuma ndiyo ziongoze! Upumbavu wa Hali ya SGR
 
Watu wame rise hoja juu ya mapungufu ya mkataba alaf wew unakuja na hoja za kijinga.

Jibuni maswali kuhusu mkataba. Ukiona mmeshindwa kuyajibu ndipo inatupa mashaka kwamba mmewapa warabu kwa sababu ni wajomba zenu. Mbaya zaidi tunawafahamu warabu walivyo wabaguzi wa dini kwenye suala la ajira.

Ninyi wa humu Jf tutashughulika na ninyi kisawasawa maana tunawamudu.
 
Jamaa huwa wanatangaza na Dini yao kabisa,hapo ndiko kwenye shida huku kwingine ni zuga tu.
We angalia Ulaya jamaa waliwapokea Kama wakimbizi Sasa wanaeneza Dini yao kwa Kasi sana.
 
Kelele hatutaki
 
Attachments

  • 69480.jpg
    69480.jpg
    14.9 KB · Views: 5
History ya uongo na uzushi wa hali ya juu.Wanaotajwa vinara wa kufanya biashara hiyo kama vile tip tip alikuwa ni chotara wa kinyamwezi na kwa maandishi yake hakufanya biashara ya utumwa.Alikuwa mfanya biashara wa bidhaa za wakati huo na alikuwa akiajiri watu kumbebea bidhaa hizo mpaka bandarini.
Ungejifunza na kufahamu kwanza kwa nini aliitwa tip tip
 
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele.

Kama kuna nchi zingekuwa na hofu na waarabu basi ingekuwa ni Kenya na Rwanda kwani uhusiano wa nchi hizo na waarabu ni wa chini kuliko wa Tanzania.

Waarabu ni waasisi wa shughuli karibu zote za kiuchumi ikiwemo biashara na kilimo kwa Tanzania..Zaidi ya hivyo Tanzania ina idadi kubwa sana ya raia zake wenye asili ya kiarabu.

Iwapo Uiengereza haina tatizo kutawaliwa na viongozi wake wakubwa wenye asili ya Tanzania na Kenya na India.Tanzania ina ujinga gani na umetokea wapi wa kupinga kila mradi unaotokana na waarabu.

Mimi natilia shaka kwenye vitabu vya historia vinavyofundiswa mashuleni kwetu.Kuanzia sasa somo la historia lenye kutaja ujinga na chuki vifutwe kabisa.
Shida masharti ya mkataba, sio uarabu au uislam
 
Back
Top Bottom