Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Mimi nakwambia biashara ya watumwa tunayoizungumzia ni ya wazungu kuwataja waarabu kwa huku Afrika Mashariki ni vita ya kidini kati ya wakristo na waislamu.Waarabu waliwahi kuwa na watumwa lakini huko kwao kabla ya Mtume Muhammada s.a.w .Hiyo sisi haituhusu.
Ugomvi wa mtu mmoja kumchoma mwenzake kisu huko Tunisia umefanya ndio ushahidi wa waarabu kuwachukia waafrika.Hujaona makumi ya watu weusi wanaouliwa kinyama huko Marekani tena na vyombo vya dola kabisa.Halafu zaidi watunisia ni waafrika kama sisi.kama kulikuwa na ugomvi yawezekana ni wa aina nyengine sio kwa ajili ya uarabu na uafrika.
Uislamu sio dini ya waarabu kama unavyosema wewe,hii ni dini ya walimwengu wote.Hebu weka hivyo visa vya waarabu tutafute ukweli kama ni kweli au ni vile vile vita vyenu vinaendelea. vya kusingizia watu uongo kwa makosa ya watu wengine.
 
Kwaiyo kwa vile wazungu wametupiga Sasa iwe zam ya wa arabu?
Hapana cjamaanisha hilo ila watu wamekuwa wabaguzi sana kitu ambacho kinaichafuwa nchi katika sura ya kimataifa inaonekana cc Kuna wawekezaji tunawabagua
 
mkuu mimi napambana na laki 8 kuna kipindi inakuja mpaka sita harafu ina drop mpaka laki najikakamua inakwenda nne inashuka, yaan kama masika vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani kinachofanya Kenya iwe kimbilio la watu ni nini? Au Kenya kuna Waarabu? Au umeamua kufungia ubongo wako kabatini?

Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
 
Kanisa.
 
Sio kweli kuna kampuni ya mafuta nimefanya kazi ni ya waarabu na HR ni mkristo tena mlokole jmosi Haji kazini na wakristo wapo wa kutosha Tu na Hakuna mtu anayebugudhiwa dini yake
Tatizo lenu nyie shule ina wasumbua sana halafu kingine huwa mnahisi mnatengwa.
Hili suala walizungumzia imani tv ila katika maelezo ya shule ina wasumbua sana.
Mikataba yote ilishawahi kusainiwa kwanini huu wananchi wamegoma? Wanakuja na udini mara wakristo, na blah blah zingine
Weka mkataba mezani, tuuchambue km wasomi.
Mkataba hauna ukomo, hauelezei nchi itanufakaje. Huu mkataba wapelekee zanzibar nao wanabandari
 
Ajabu kubwa hii iliyopo Tanzania.Yaani tumekuwa na chuki na visasi vya ngamia.Unamuona mtu yupo kimya kumbe anadoelea nafasi tu atoe chuki za moyoni mwake.
Shida yenu nyie shule inawasumbua. Umeshupaza shingo na kujifananisha na wewe ni mwarabu.
Huo mkataba wa watu ambao hawajaenda shule pelekeni Zanzibar, huko ambao kuna watu wana elimu ya madrasa
1. Huwezi kutuletea mkataba ambao hauna ukomo wa muda.
2. Mkataba hauoneshi nchi na watanzania tutanufaikaje.
 
Tatizo lenu nyie shule ina wasumbua sana halafu kingine huwa mnahisi mnatengwa.
Hili suala walizungumzia imani tv ila katika maelezo ya shule ina wasumbua sana.
Mikataba yote ilishawahi kusainiwa kwanini huu wananchi wamegoma? Wanakuja na udini mara wakristo, na blah blah zingine
Weka mkataba mezani, tuuchambue km wasomi.
Mkataba hauna ukomo, hauelezei nchi itanufakaje. Huu mkataba wapelekee zanzibar nao wanabandari
 
Naamini una tatizo la uoga. Kuujadili mkataba utake wewe halafu unataka niuweke mimi "mezani"? Una akili sawasawa?

Shule imsumbuwe aliyeianzisha? Fikiri.

Mimi nataka wewe usiyesumbuliwa na shule, tuongee kishule.

Wewe una dini?
 
Naamini una tatizo la uoga.

Shule imsumbuwe aliyeianzisha? Fikiri.

Mimi nataka wewe usiyesumbuliwa na shule, tuongee kishule.

Wewe una dini?
Mtu muoga na aliyesumbuliwa na shule huuliza kuhusu dini. Wasomi hawaulizi kuhusu dini.
 
Mtu muoga na aliyesumbuliwa na shule huuliza kuhusu dini. Wasomi hawaulizi kuhusu dini.
Kajisome tena uone ulichoandika, neno "udini" kalileta nani?

Ukishajuwa aliyelileta, sasa nijibu, wewe una dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…