evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kuna jamaa yangu kaniambia hao watu wote bashite anawalipa so tuzipuuze hizo threads.Kwa kweli inashangaza. Hata sielewi ni kitu gani hasa kinachofanya watu akili ziwaruke kabisa, kutwa kumjadili Bashite!
Hii ni ishara mbaya sana kwa nchi yetu; kwamba sasa watu kama Bashite ndio wanaoshangiliwa ndani ya taifa hili?
Tumeshuka viwango katika uongozi wa nchi kiasi hiki?
Samia yeye akili zake zote sasa kazikabidhi hata kwa shetani, ili mradi tu 2025 aendelee kuwepo kwenye nafasi hiyo. Na bado wananchi hawahoji chochote!
Bashite alivyosema kuna watu wanalipwa ili kumchafua Rais Mitandaoni yeye ndiyo anayofanya anawalipa watu ili wamwandike vizuri Mitandaoni na yeye anajitahidi kufanya vikao vyake huku akivirekodi na kuwalipa watu wavizushe hewani.
Vikao karibia vyote anavyofanya Mhe Rais vinarekodiwa Ila huwezi kukuta vinarushwa hewani
Jery slaa naye anamfata makonda anafanya vikao vya kiutendaji vya ndani anavirusha hewani kwangu Mimi kurekodi kikao Kwa minajili ya kumbukumbu ni sawa Ila kuvirusha hewani ni tatizo.