Kiona Mbali: Bashite kama Lowassa; Mama kama Kikwete. Kisha Bashite atajiuzulu kumuokoa Mama

Kuna jamaa yangu kaniambia hao watu wote bashite anawalipa so tuzipuuze hizo threads.
Bashite alivyosema kuna watu wanalipwa ili kumchafua Rais Mitandaoni yeye ndiyo anayofanya anawalipa watu ili wamwandike vizuri Mitandaoni na yeye anajitahidi kufanya vikao vyake huku akivirekodi na kuwalipa watu wavizushe hewani.
Vikao karibia vyote anavyofanya Mhe Rais vinarekodiwa Ila huwezi kukuta vinarushwa hewani
Jery slaa naye anamfata makonda anafanya vikao vya kiutendaji vya ndani anavirusha hewani kwangu Mimi kurekodi kikao Kwa minajili ya kumbukumbu ni sawa Ila kuvirusha hewani ni tatizo.
 
Heshima sana mkuu. Mchango wako huu umeongeza sura mpya ambayo wengi hawaiwekei uzito bado.

Sasa kabla ya kukusoma, nimebahatika kuona orodha ya watu waliomo kwenye kamati ya Maadili; ambayo ndiyo inadaiwa kumwita Makonda kwa mahojiano.
Imenishangaza kidogo! Bado na'process' ni nini hasa kinachotokea huko CCM.

Binafsi natamani zimwi hili liendelee, na liongeze nguvu zaidi, pengine litawafanya waTanzania wastuke kidogo kuhusu mwelekeo wa nchi hii ulivyo sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…