Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

W

Kama hujui undani wa kufa TIPPER nyamaza fanya utafiti.Kwanza mtambo wa Tipper haukuweza kutosheleza mahitaji ya nchi toka ifuguliwe hadi kifo chake cha aibu.It was smallest refinery in the world but also was too old.
Tipper ilikufa kwa hiyo mikataba mibovu,alipotoka Kambarage ma Taliani wakatumia upungufu ulio kwenye mikataba wakachuma pesa nyingi tu,tukikopa kama nchi kukarabati mitambo ya miaka 40,na hiyo pesa inaishia kwao wala haikuja kukarabati TIPPER alioiacha Nyerere.
Benki ya dunia kwa ubora wake akagundua janja ya nyani akajiondoa kufadhili au kukopesha TIPPER. nao mafia Italy walijiondoa wakauza hisa zake kwa kuwa walikuwa ndio wachumia tumbo.Ndio ukawa mwisho TIPPER.
Mtaliani anasimamiwa na nchi au watu makini sio waomba scholarship ya mwanae au kufadhili harusi ya mwanae.
Mwisho wako wa kufikiri juu ya mtambo wa TIPER uliishia hapo?
 
Mwisho wako wa kufikiri juu ya mtambo wa TIPER uliishia hapo?
Tipper ni scrap yard ya Refinery,labda storage tanks kwani ziliendelea kutumika.
Kwanza ilipofungwa kuzalisha watu wakajichukulia vipuli.Tusema Tipper is old scrap yard ya Refinery,and outdated,and very expensive to Repair and operate.Not attractive to investors.
Jenga state of art modern Refinery sio kufufua old stone age plant.
 
Sawa kabisa , ndio maana nasema watu waliishia kufikiri pale mitambo ilipoharibika. hawakuweza kufikiri nje ya box.
Kwa taarifa tu, refinery ya Zambia, Indeni Petroleum Refinery, iliyojengwa baada ya TIPER, wao bado wanaoperate hata leo.
Na wabia wao ni hao hao waitaliani.
Sisi kwa kutafuta sababu za kijinga kutofanya kazi hatujambo sana.

"

Overview[edit]​

The petroleum refinery is described in some publications as a "very small and simple refinery". It was constructed in 1973, with capacity to refine 24,000 bbl/d of crude oil, and process 1,200,000 tonnes (1,322,774 tons) of feedstock annually. Crude oil is imported via the Kurasini Oil Jetty in Dar es Salaam, Tanzania and is delivered to the refinery through the 1,704 kilometres (1,059 mi) Tazama Pipeline. The annual delivery capacity of the pipeline is also the annual processing capacity of the refinery.[4]

Operations[edit]​

The Indeni Refinery is configured as a Hydro-skimming refinery. Designed in 1973, the refinery is not able to refine pure crude at commercial levels and processes spiked crude.[5]

The refinery is able to produce the following products:[4] (a) unleaded petrol (b) automotive gas oil (c) industrial kerosene (d) domestic kerosene (e) Jet fuel (f) Liquefied Petroleum Gas (g) reformate (h) fuel oil and (i) asphalt.[4]

Ownership[edit]​

When the refinery was established in 1973, it was owned and managed by Indeni Petroleum Refinery Company Limited, a 50/50 joint venture between the government of Zambia and Eni, the Italian energy conglomerate, through their subsidiary Agip Zambia. Under the terms of the joint venture, Eni was responsible for the management of the refinery.[4] In 2001, Eni sold their shareholding to Total S.A., through their subsidiary TotalFinaElf. Total took over management of the refinery.[6] In 2009, Total S.A. sold their shareholding to the Zambian government for consideration of US$5.5 million.[4][7]

Since then, there have been attempts to bring on-board a strategic partner with funding and expertise to upgrade, modernize and expand the refinery.[8][9][10]

Ref Wikipedia
 
Kwa umeme huu wa Tanesco hata mimi ningeuwa kiwanda cha TIPER tena asubuhi tuu. Gharama za nishati ya umeme ipo juu sana. Tanzania sio nchi ya kwanza duniani kuuwa viwanda vya oil refinery. Sema kuna shida na kuna majamaa yanaleta uzibe kwenye upatikanaji wa nishati ya umeme kwa bei nafuu
 
Kuna uhusiano gani kati ya upatikanaji wa nishati ya umeme na kiwanda cha kuchakata mafuta cha TIPER?
 
Mkuu siyo lazima uongelee kitu usichokijua.
 
Kwani viwanda kama KIOO Ltd wanatumia umeme upi? Unajua mahitaji ya umeme wao yalivyo makubwa? Kwanini isiwezekane kwa kiwanda kama TIPER?
 
Mkuu siyo lazima uongelee kitu usichokijua.
Sema sasa unachokijua. Kiwanda kilihujumiwa ndio hilo nakubali ila gharama za uendeshaji wa kile kiwanda zingekuwa kubwa sana na mafuta tungenunua kwa bei juu. Hivi hujajiuliza kwa nini sukari inazalishwa Kilombero, moshi na Kagera ina bei ghali sana kuliko sukari toka brazil.
Kubali ukatae energy is the capacity to do work. Kama nishati ya umeme ipo juu na nishati za usafirishaji zipo juu usitegemee kushindana na bidhaa toka nchi za wenzetu ambazo umeme wa kuendesha mitambo upo chini.

Emu jiulize bei ya mafuta ya mawese au alizeti yanayozalishwa Tanzania yana bei ghali kuliko yanayotoka malyasia au indonesia.
Emu jiulize saruji inayotoka bara asiaya 32.2N inabei rahisi kuliko inayozalisha hapa bongo.
Ni bidhaa nyingi toka nje ya nchi zina bei nzuri kuliko zinazozalishwa hapa nchini kwa kkiwango kile kile.
Ndo maana JPM alikuja na suluhu ya kuwa na chanzo cha nishati ya umeme nafuu na cha uhakika BWAWA LA NYERERE ili umeme uwe wa kutosha wa bei nafuu na viwanda vifanye operations zao owa gharama za chini
 
Kuna uhusiano gani kati ya upatikanaji wa nishati ya umeme na kiwanda cha kuchakata mafuta cha TIPER?
Kwa bahati mbaya wewe sio mtaalam wa petroleum hata sijui nianze kukueleza aje.
Kile kiwanda kilihujumiwa sana na fisiemu kwa nguvu ya mabeberu. Ila kama nishati ya umeme haitoshi na haipatikan kwa bei nafuu kile kiwanda kukiendesha ni mtihani sana. Mwisho wa siku end products za petroleum zitakuwa na bei kubwa na bidhaa za petrol toka nje zitakuwa na bei nafuu. Hapo utahitaji nguvu kubwa sana kuuza mafuta yako kingali mafuta yaliosafishwa toka nje yanakuja na bei nafuu kuliko.
 
Vipi mwenzangu ni mtaalam wa petroleum? Mwaga madini kuoanisha upatikanaji wa umeme na kuchakata mafuta!
 
Vipi mwenzangu ni mtaalam wa petroleum? Mwaga madini kuoanisha upatikanaji wa umeme na kuchakata mafuta!
Nikuulize Umeme wa tanesco unatosha kulisambazia TIPER wakafanya cracking ya crude oil na by products zake zikauzwa kwa affordable price?????
 
Nikuulize Umeme wa tanesco unatosha kulisambazia TIPER wakafanya cracking ya crude oil na by products zake zikauzwa kwa affordable price?????
Iliwezekana tukiwa na diesel generators itakuwa leo tuna vyote natural gas, diesel na hydropower generators!
 
Iliwezekana tukiwa na diesel generators itakuwa leo tuna vyote natural gas, diesel na hydropower generators!
Kuna shida sehemu kama jpm alipotaka tupate bwawa la Nyerere kama suluhisho la upatikanaji wa nishati ya umeme kwa wingi na gharama nafuu kilichomkuta hata sijui
 
Wewe jamaa ni mtu wa kupinga tu hoja za watu bila kuwa na upembuzi wa hicho ublnachokipinga,nimekuona sana kwenye hoja nyingi zinazohusu serikali ya hawamu ya Tano....sjajua ww ni ZzK au Mauzii?
 
Wewe jamaa ni mtu wa kupinga tu hoja za watu bila kuwa na upembuzi wa hicho ublnachokipinga,nimekuona sana kwenye hoja nyingi zinazohusu serikali ya hawamu ya Tano....sjajua ww ni ZzK au Mauzii?
Mimi nimekuona awamu ya saba.
 
Halafu wanasema Mkapa alikuwa bonge la kiongozi, kiongozi gani aliyeua mashirika Mengi ya umma ambayo yalikuwa yanareta tija kwa wananchi? Mkapa ndiye chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi,hata viongozi tunaowapa uongozi hawawezi kuangaria tulipoangukia wakarekebisha tukasonga,wanaendereza hayohayo.

Kwenye kitabu chake alicho andika mkapa kuna mahali alisema katika Makosa yote aliwai fanya kwenye Maisha yake kosa kubwa ni Kubinafsisha mashirika ya Umma!!!
 
Back
Top Bottom