Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

Sawa lakini hivi sasa hakuna anayeongelea kuanzishwa kwa kiwanda cha kusafisha mafuta! Kinachojadiliwa ni kutafuta soko la bei nafuu kununua mafuta!
Serikali inanunua ndege kwanza.
 
Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.

Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Tipper ilikufa toka enzi za Nyerere.

Magufuli ndiye kazuwia mkataba wa kufufuliwa tipper na wawekezaji.
 
Mambo mengine ni ya kujifurahisha tu.

TIPER ilikuwa na uwezo wa kuchakata tone laki sita ya mafuta ghafi kwa mwaka.

Ikaongezewa uwezo mpaka tones laki 7.5 ya kuchakata mafuta ghafi kabla ya kuacha uzalishaji.

Tonnes laki 7.5 ya mafuta ghafi kwa mwaka ni sawa litres million 680 za crude oil. Kwenye crude of barrel kuna litre 153👇na unapata product zifuatazo.

9781F521-68D0-4A71-9F0A-6A8AA157D37E.jpeg

Hizo ni kwa refineries za kisasa ambazo zinaweza chakata mafuta yenye API gravity kubwa. Kwa technology ya TIPER yield percentage is even lower; hata ulaya refiniries zilizokuwa na technology ya miaka ya 1960’s nyingi zishafungwa not only zinauwezo mdogo wa kuchuja crude oil but also very unfriendly to the environment.

Tanzania ya leo inamahitaji ya mafuta takribani litre billion 3.5 mpaka billion 4, TIPER mpaka inafungwa ilikuwa na uwezo wa kuzalisha million 545-680 litres at maximum (it could be lower given its technology).

That’s is to say kusema TIPER ingekuwa mwarobani wa tatizo la mafuta is simply short sighted uwezo wa TIPER wa kuzalisha na mahitaji ya nchi ni drop in the ocean.

Besides kinachoendelea kwenye soko la mafuta on political side of things it has nothing to do with refineries. Na kujenga refiniries kama bwala la umeme na reli tu mshike mshike wake sio mdogo; kweli tuongelee mambo ya Oil refiniries investment zenye uwezo wa kuchakata mafuta ya Tanzania tu.

Kuna wakati embu tuwe serious on what we can do and what we can’t kwa mapato yetu ya sasa.

Sometimes akili zetu zinatutosha wenyewe; unahitaji TIPER iongeze uwezo wake mara saba ili kuweza kuhudumia mahitaji ya Tanzania. Sasa tunajua gharama ya size hiyo ya refinery kweli au tunajifurahisha.
 
Changamoto tuliyonayo hata lile wazo la kukifufua kiwanda hiki halipo kabisa!

Kwa serikali hii

Hilo wazo likija basi ujue Raia tutalizwa tozo mpya na mwisho lisitimie hata hilo wazo.
 
Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.

Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Nafikiri CCM ni chama kilicholaaniwa maana hakina kiongozi mwenye dira ya maendeleo hata kidogo. Ukiondoa Nyerere na Magufuli wote waliopita wako useless, wao wanawaza kusafiri kwa kutalii tu duniani. Kuna mmoja alidiriki kabisa kwenda hadi Jamaica ili akavute tu bangi na kubembea huku nchi akaiacha inaliwa na viwavi waliokuwa wanamsifia na kumwambia akae tu huko huko asirudi mapema na yeye akichekelea na kuwatambia bangi ya kule ni nzuri zaidi shinda ya huku kwetu. Hawa ndiyo wanajiita wenye nchi, hivi kwa hali hii sisi Watanzania tutakuja kuendelea kweli chini ya hiki chama?
 
Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.

Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
NYERERE alijenga Viwanda vya Kutosha Wakaja Wanyang'anyi Wakavipora Vyote Leo Kiwanda cha Tanganyika Packers Pamekuwa KANISA
Leo Kiwanda cha URAFIKI wachina Wanauza MAUA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ila serikali chini ya CCM imetukosea sana watanzania, Tanzania ilikuwa imesheheni viwanda vingi mno ila hadi sasa 90% ya viwanda hivyo vimebakia magofu…

Mfano mkoa wa Mara ulikuwa na MUTEX, MARA OIL, Kiwanda cha mkonge, kiwanda cha ngozi vyote vishajifia..
 
W

Kama hujui undani wa kufa TIPPER nyamaza fanya utafiti.Kwanza mtambo wa Tipper haukuweza kutosheleza mahitaji ya nchi toka ifuguliwe hadi kifo chake cha aibu.It was smallest refinery in the world but also was too old.
Tipper ilikufa kwa hiyo mikataba mibovu,alipotoka Kambarage ma Taliani wakatumia upungufu ulio kwenye mikataba wakachuma pesa nyingi tu,tukikopa kama nchi kukarabati mitambo ya miaka 40,na hiyo pesa inaishia kwao wala haikuja kukarabati TIPPER alioiacha Nyerere.
Benki ya dunia kwa ubora wake akagundua janja ya nyani akajiondoa kufadhili au kukopesha TIPPER. nao mafia Italy walijiondoa wakauza hisa zake kwa kuwa walikuwa ndio wachumia tumbo.Ndio ukawa mwisho TIPPER.
Mtaliani anasimamiwa na nchi au watu makini sio waomba scholarship ya mwanae au kufadhili harusi ya mwanae.
Hata kama hakikutosheleza mahitaji lakini kama nchi ilinufaika kwa namna fulani.
 
Kwanini SGR isikamilike wakati wanakusanya kodi ya Railway Development Levy.

Hii kodi inakwenda kufanya kazi gani??
Kujiandaa na uchaguzi wa kumuweka mama mamlakani anaeupiga mwingi
 
Zambia wanacho hawakuua kilijengwa same time na chetu

Cost ya kukikarabati sio kujenga kiwanda kipya zinahitajika dola milioni 500 hawana wanahaha kutafuta private investors!!

Kuna biashara Serikali haiwezi fanya Haina pesa za hiyo biashara

Kiwanda cha Tipper waitaliano wa Agip ndio waliwekeza Serikali ikajifanya kutaifisha limewatokea kooni

Private sector capital ina raise capital markets za kimataifa.Miradi kama hiyo Serikali haiiwezi kutegemea ukusanye Kodi dola milioni 500 kwenye mauzo ya nje ya mazao kama ya korosho sijui pamba sio rahisi!!

Mwenye nguvu mpishe Serikali irudishe kwa Agip hicho kiwanda cha kusafisha mafuta Serikali haiwezi kuwa na mtaji wa kufufuka hicho kiwanda ni lofa
Yule mzalendo wenu alienunua midege kwa cash unajua katumia kiasi gani kuyanunua....badala ya hiyo midege Hela angeingiza kule na kupata private investigators competent wakawana hisa kipi kingeshindikana cccm mmeua hii Nchi mawazo yamefika mwisho watu wanafikiria kupiga Wananchi wao SHAME...
 
Mambo mengine ni ya kujifurahisha tu.

TIPER ilikuwa na uwezo wa kuchakata tone laki sita ya mafuta ghafi kwa mwaka.

Ikaongezewa uwezo mpaka tones laki 7.5 ya kuchakata mafuta ghafi kabla ya kuacha uzalishaji.

Tonnes laki 7.5 ya mafuta ghafi kwa mwaka ni sawa litres million 680 za crude oil. Kwenye crude of barrel kuna litre 153👇na unapata product zifuatazo.

View attachment 2211911

Hizo ni kwa refineries za kisasa ambazo zinaweza chakata mafuta yenye API gravity kubwa. Kwa technology ya TIPER percentage is even lower; hata ulaya refiniries zilizokuwa na technology ya miaka ya 1960’s nyingi zishafungwa not only zinauwezo mdogo wa kuchuja crude oil but also very unfriendly to the environment.

Tanzania ya leo inamahitaji ya mafuta takribani litre billion 3.5 mpaka bullion 4, TIPER mpaka inafungwa ilikuwa na uwezo wa kuzalisha 544 million litres at maximum (it could be lower given its technology).

That’s is to say kusema TIPER ingekuwa mwarobani wa tatizo la mafuta is simply short sighted uwezo wa TIPER wa kuzalisha na mahitaji ya nchi ni drop in the ocean.

Besides kinachoendelea kwenye soko la mafuta on political side of things it has nothing to do with refineries. Na kujenga refiniries kama bwala la umeme na reli tu mshike mshike wake sio mdogo; kweli tuongelee mambo ya Oil refiniries investment zenye uwezo wa kuchakata mafuta ya Tanzania tu.

Kuna wakati embu tuwe serious on what we can do and what we can’t kwa mapato yetu ya sasa.

Sometimes akili zetu zinatutosha wenyewe; unahitaji TIPER iongeze uwezo wake mara saba ili kuweza kuhudumia mahitaji ya Tanzania. Sasa tunajua gharama ya size hiyo ya refinery kweli au tunajifurahisha.
Wewe zamani ulikuwa na TV ya chogo leo hii una flat TV sasa nini kingeshindikana kwa nchi ku- modernize na kujenga kiwanda kikubwa zaidi kuongeza uzalishaji wa kutosheleza soko la ndani.

Acheni mawazo mgando!
 
Yule mzalendo wenu alienunua midege kwa cash unajua katumia kiasi gani kuyanunua....badala ya hiyo midege Hela angeingiza kule na kupata private investigators competent wakawana hisa kipi kingeshindikana cccm mmeua hii Nchi mawazo yamefika mwisho watu wanafikiria kupiga Wananchi wao SHAME...
Usiihusishe CCM, hata CCM alikuwa anaipeleka kuzikwa bwana yule.

Umesahau alivyoisambararatisha chadema?
 
Wewe zamani ulikuwa na TV ya chogo leo hii una flat TV sasa nini kingeshindikana kwa nchi ku- modernize na kujenga kiwanda kikubwa zaidi kuongeza uzalishaji wa kutosheleza soko la ndani.

Acheni mawazo mgando!

Mambo mengine kubishana ni shida the cost ya kufanya modernazation imefanya idadi ya refiniries zifuatazo kufungwa ulaya. Hao ndio watu tunaotegemea waje kuwekeza kwetu kwao wameshindwa kufanya modernisation.

Hao wazungu waliomkimbilia mama Samia kwa biashara ya carbon trade sio bure sikia tu kati ya option ya kufanya modernisation au carbon trade kutokana na mambo ya mazingira na gharama za New carbon capturing technologies..

Watu wapo tayari kuchukua deal za carbon trading kuliko ku invest in new low carbon machines.

Wasioweza carbon trade wanafunga biashara in Europe, na walio UK mziki wake sikia tu.

Haya mambo kama uyaelewi utaropoka tu kama waziri Makamba na bi tozo kwa kusifia kuvutia uwekezaji bila ya kuelewa kwanini watu wanataka kuwekeza kwenye renewable energy in Africa.
 
Back
Top Bottom