Kiongozi aliyezima maandamano kwa kuua raia Iran naye auawa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana.
Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito.
-----

The IDF killed the Islamic Revolutionary Guard Corps Basij militia's intelligence chief Esmail Ahmadi, the military announced on Friday.

Ahmadi was killed in the strikes that targeted other senior Basij militia members, including commander Gholamreza Soleimani and his deputy Seyyed Karishi, earlier this week.
 
Nyie imbeni we Taifa teule fake ndio linakata roho sijui ushoga mtaupeleka wapi

View: https://youtu.be/yRSrnZ6pw9o?si=ZPL-LSzrF6pS6Zul

View: https://youtu.be/Y5BBJIhjACc?si=G6dOG2Du5Scvi1DI

Hezbollah kapiga vifaru 6 leo tu, wacha hana na juzi afu kuna wasafisha vyoo humu wabajidai Hezbullah ili malizwa Echolima1 ambaye ndiye anajina kama utitiri kwa hii mada anauliza na anajijibu kwa majina mengine 30+

Mazishi ya Netanyahu yatafanyika lini?

Nimeangalia hiyo video sijaona hata kifaru kimoja kilichopigwa mnaendelea kudanganya watu huku mkijidai mmefunga!!!
 
Raia wanapataje taarifa za mahali walipo viongozi kama hao na wanatoaje taarifa kwa Israel?
 
Je kuuuawa kwake kumesitisha makombora kunyesha? Lazima uelewe mvua hii haikatishwi na kamanda mmoja kufa itannyesha mpaka siku mzayuni atie akili
 
Israel wanachofanya ni kuondoa watawala wenye ugaidi wa kiislamu, ili kutoa nafasi kwa watawala wapya wa kesho, wanafuta mfumo wa hiyo dini kwenye uongozi.

Kuhusu makombora kutumwa Israel wala sio issue maana yanadunguliwa kila siku, hiyo ni gharama ndogo inayolipwa na wana Israel kwa ajili ya usalama wao wa kesho, issue muhimu Sasa hivi ni kupunguza ugaidi wa uislamu Iran.
 
Mazishi ya Netanyahu yatafanyika lini?

Nimeangalia hiyo video sijaona hata kifaru kimoja kilichopigwa mnaendelea kudanganya watu huku mkijidai mmefunga!!!

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu, ukisikia hizo habari za wenye akili ndogo kuwa Israel imepigika sana, unajua ni uwongo mkubwa. Yaani nchi ipigike sana, halafu iwe bado ina uwezo wa kuendelea kushambulia targets precisely ndani ya Iran, iendeshe vita dhidi ya Hezbollah ndani ya Lebanon, na leo imepanua vita kwa kuanza kushambulia Syria. Utakuwa punguani kuamini kuwa Israel imeishiwa nguvu. Israel kila wakati utasikia ilivyowaua viongozi wa kijeshi wa Iran; Iran wanabakia kupoteza.muda wao kutengeneza hadithi kuwa Netanyahu ameuawa!

Iran ingekuwa na watu wenye hekima, ingeondokana na utawala wa Ayatollah, wabakie na utawala wa wananchi kupitia chaguzi za kidemokrasia. Huo utawala wa Ayatollah ni laana tupu, Wairan wengi hawautaki, mataifa jirani zake hawautaki, taasisi za kimataifa haziutaki kwa sababu unawaua sana Wairan kwa sababu za kipuuzi kabisa.
 
Uko sawa sana tu!!!
 
Hizo ni porojo tu za masjid ubwabwa. Hamna kitu kama hicho labda wamedungua mwewe aliyekuwa anaruka angani wakafananisha na F-16.
 
Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana.
Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito.
-----

The IDF killed the Islamic Revolutionary Guard Corps Basij militia's intelligence chief Esmail Ahmadi, the military announced on Friday.

Ahmadi was killed in the strikes that targeted other senior Basij militia members, including commander Gholamreza Soleimani and his deputy Seyyed Karishi, earlier this week.
Kitu ambacho nyinyi hamkijui ni kuwa viongozi wa Irani huwa hawajifichi hasa kipindi kama hiki nchi ipo vitani kiongozi hautaki kijificha

By the way waislam huwa hawagopi kufa ila makafiri ndio mnaogopa kufa
 
Back
Top Bottom