Mazishi ya Netanyahu yatafanyika lini?Nyie imbeni we Taifa teule fake ndio linakata roho sijui ushoga mtaupeleka wapi
View: https://youtu.be/yRSrnZ6pw9o?si=ZPL-LSzrF6pS6Zul
View: https://youtu.be/Y5BBJIhjACc?si=G6dOG2Du5Scvi1DI
Hezbollah kapiga vifaru 6 leo tu, wacha hana na juzi afu kuna wasafisha vyoo humu wabajidai Hezbullah ili malizwa Echolima1 ambaye ndiye anajina kama utitiri kwa hii mada anauliza na anajijibu kwa majina mengine 30+
Je kuuuawa kwake kumesitisha makombora kunyesha? Lazima uelewe mvua hii haikatishwi na kamanda mmoja kufa itannyesha mpaka siku mzayuni atie akili
Mazishi ya Netanyahu yatafanyika lini?
Nimeangalia hiyo video sijaona hata kifaru kimoja kilichopigwa mnaendelea kudanganya watu huku mkijidai mmefunga!!!
Eti kafunga lakini anasema uongoNyie imbeni we Taifa teule fake ndio linakata roho sijui ushoga mtaupeleka wapi
View: https://youtu.be/yRSrnZ6pw9o?si=ZPL-LSzrF6pS6Zul
View: https://youtu.be/Y5BBJIhjACc?si=G6dOG2Du5Scvi1DI
Hezbollah kapiga vifaru 6 leo tu, wacha hana na juzi afu kuna wasafisha vyoo humu wabajidai Hezbullah ili malizwa Echolima1 ambaye ndiye anajina kama utitiri kwa hii mada anauliza na anajijibu kwa majina mengine 30+
Uko sawa sana tu!!!Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu, ukisikia hizo habari za wenye akili ndogo kuwa Israel imepigika sana, unajua ni uwongo mkubwa. Yaani nchi ipigike sana, halafu iwe bado ina uwezo wa kuendelea kushambulia targets precisely ndani ya Iran, iendeshe vita dhidi ya Hezbollah ndani ya Lebanon, na leo imepanua vita kwa kuanza kushambulia Syria. Utakuwa punguani kuamini kuwa Israel imeishiwa nguvu. Israel kila wakati utasikia ilivyowaua viongozi wa kijeshi wa Iran; Iran wanabakia kupoteza.muda wao kutengeneza hadithi kuwa Netanyahu ameuawa!
Iran ingekuwa na watu wenye hekima, ingeondokana na utawala wa Ayatollah, wabakie na utawala wa wananchi kupitia chaguzi za kidemokrasia. Huo utawala wa Ayatollah ni laana tupu, Wairan wengi hawautaki, mataifa jirani zake hawautaki, taasisi za kimataifa haziutaki kwa sababu unawaua sana Wairan kwa sababu za kipuuzi kabisa.
F16 Imetunguliwa leo ya IsraelEti kafunga lakini anasema uongo
Kirahisi hivyo hiyo si F-16 onyesheni mabaki yake turned!!!
Kitu ambacho nyinyi hamkijui ni kuwa viongozi wa Irani huwa hawajifichi hasa kipindi kama hiki nchi ipo vitani kiongozi hautaki kijifichaNi dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana.
Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito.
-----
The IDF killed the Islamic Revolutionary Guard Corps Basij militia's intelligence chief Esmail Ahmadi, the military announced on Friday.
Ahmadi was killed in the strikes that targeted other senior Basij militia members, including commander Gholamreza Soleimani and his deputy Seyyed Karishi, earlier this week.
IDF carries out airstrikes across Iran as part of Operation Roaring Lion | The Jerusalem Post
The military also announced that it had struck weapons production sites and ballistic missile launcher storage facilities located in Tehran.www.jpost.com