Kiongozi analazimika kufuatana na Mwenza wake kwenye safari za kikazi na shughuli za Kitaifa nje na ndani ya nchi?

Kwaiyo Bi chui amezingua kutokwenda na Gentleman wa taifa ziara...

Mimi bado najiuliza kuna ulazima? Ni muhimu? Na kama sio lazima na sio muhimu kwanini huwa tunaaminishwa kiongozi anapaswa kuwa na mwenza?

Ni sawa kiongozi kuwa kama yuko single?
 
Sio lazima kufuatana Madiba (rip)aliapishwa kuwa president akiwa ameongozana na binti yake

Kwa hiyo alikuwa haambatani na mkewe kwenye shughuli nyingi za kitaifa na kimataifa? Umeona ilikuwa sawa kutofatana na mkewe?
 
Kama mwenza ana wake 2+ huwezi safiri naye zamu za wenzako[emoji3][emoji3]

Mimi naona hilo swala linategemea na umuhimu wa mke kwa jamii......hivi kama mke ni Rais unawezaje kugoma kwenda kuambatana nae kisa si zamu yake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh. H Mwinyi mkewe ni pembeni yake hamuachi kabisa. Ila yeye ameamua kuwa na mke mmoja tu Miriam na wanapendana Sana kidhati.
 
Mada ya kinafiki sana hii anyway mbona digala anaachwa sana au ndio mambo ya wake wengi.
 
Wa kwanza kutatua dharura ni Dkt mengine ni kuongezea gharama wananchi, siungi mkono hoja yako
 
Maza huwa anaenda nae ila huwa haoneshwi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mababa Askofu na Ma-padre hawaowi ni wahuni? maanake akifiwa na mume/mke huyo hafai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…