Kiongozi analazimika kufuatana na Mwenza wake kwenye safari za kikazi na shughuli za Kitaifa nje na ndani ya nchi?

Kiongozi analazimika kufuatana na Mwenza wake kwenye safari za kikazi na shughuli za Kitaifa nje na ndani ya nchi?

Kwaiyo Bi chui amezingua kutokwenda na Gentleman wa taifa ziara...

Mimi bado najiuliza kuna ulazima? Ni muhimu? Na kama sio lazima na sio muhimu kwanini huwa tunaaminishwa kiongozi anapaswa kuwa na mwenza?

Ni sawa kiongozi kuwa kama yuko single?
 
Sio lazima kufuatana Madiba (rip)aliapishwa kuwa president akiwa ameongozana na binti yake

Kwa hiyo alikuwa haambatani na mkewe kwenye shughuli nyingi za kitaifa na kimataifa? Umeona ilikuwa sawa kutofatana na mkewe?
 
Kama mwenza ana wake 2+ huwezi safiri naye zamu za wenzako[emoji3][emoji3]

Mimi naona hilo swala linategemea na umuhimu wa mke kwa jamii......hivi kama mke ni Rais unawezaje kugoma kwenda kuambatana nae kisa si zamu yake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh. H Mwinyi mkewe ni pembeni yake hamuachi kabisa. Ila yeye ameamua kuwa na mke mmoja tu Miriam na wanapendana Sana kidhati.
 
Mada ya kinafiki sana hii anyway mbona digala anaachwa sana au ndio mambo ya wake wengi.
 
Hili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara au la lazima?

Yani Viongozi wenzio uko duniani wanakuona kila leo kama uko single wanashindwa kujua au kuuliza yuko wapi mkeo au mumeo! Wakati wa kutambulishana unajikuta unatambulusha huyu ni body guard huyu ni mlinzi wangu huyu ni msaidizi wangu wa hotuba au huyu ni waziri wangu ...wanasubiri kusikia huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu lakini olaaaaahhhh

Hili ni jambo liko sawa? Kiongozi mkubwa kutotambua uwepi wa mwenza wake hata kwa kuambatana nae ni sawa? Au ni sawa kiongozi mkubwa hata akiwa single ni sawa tuu hakuna shida yeyote?

Au viongozi wakubwa huwa hawatengewi posho na matunzo kwaajili ya wenza wao hivyo ni gharama kiongozi kuambatana na wenza wao?

Ikiwa kiongozi anapata dharura ambayo mume au mke anatakiwa ndio atatue wa kwanza au kujua wa kwanza inakuwaje hapo?
Wa kwanza kutatua dharura ni Dkt mengine ni kuongezea gharama wananchi, siungi mkono hoja yako
 
Maza huwa anaenda nae ila huwa haoneshwi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada umeongea jambo la msingi sana.

Hivi kwenye fomu ya kugombea nafasi zile za juu kitaifa kuna kipengele cha kujaza taarifa za ndoa? Na kama kipo vipi umuhimu wake?

Ipo siku tutakuja kuongozwa na wahuni na tulazimike kufuata uhuni wao[emoji23]
Kwahiyo mababa Askofu na Ma-padre hawaowi ni wahuni? maanake akifiwa na mume/mke huyo hafai?
 
Back
Top Bottom